Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Yupo hai na anapumua vizuri tu...Ananyongwa na smart 119
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo hai na anapumua vizuri tu...Ananyongwa na smart 119
Thanks for the super sweet good morning love...
Don't say no more...
Itakua ttzo hawaaminian,, km wangkua wanaamian wasingleta huu upuuzi et kujua nan anawaona vip,, upuuz tuu…!!Sisi tunawaombea penZi lenu lifike mbali.
Sasa ukija kulia lia hapa hata kama unatania ila ujue mzaha mzaha hutumbukanjibu.
Mmoja wenu kama ni kicheche hakuna namna mtatibuana tu sku yoyote hata kama mje na mashair mangapi.
Moyo ni kuaminiana sio mashairi.
Sisi tunawaombea penZi lenu lifike mbali.
Sasa ukija kulia lia hapa hata kama unatania ila ujue mzaha mzaha hutumbukanjibu.
Mmoja wenu kama ni kicheche hakuna namna mtatibuana tu sku yoyote hata kama mje na mashair mangapi.
Moyo ni kuaminiana sio mashairi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Penzi limechacha!![emoji31][emoji31][emoji31]
sawa, hongeraSaint Ivuga Behaviourist Super women 2
Ice man 3D and others mupooo???
hahaha Nacheka kwa dharaaaau lol
anyway
Thanks again Smart911 swirly for forgiveness
I wrote this thread intentionally kabisa niwajue wenye vijiba na penzi langu na my king Smart911
khakhaakhaa aibu yetu aibu yaooooooooo
aibu yao wenyeweeeee
Nakupenda sana Smart911 mzungu wangu
a muzungu by heart and character lol... hug and kissesssss
muah muaaaaah Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah
Ailavyuuuuuuuuuuuuu my king
Hakuna anayekatazwa kutoa maoni... Na huwezi kupata maoni positive always.. Lazima negativity ziwepo in order to learn and grow... Me and mahondaw we have been shaping each other sana... Kuelekezana.. Kuambiana, kufahamishana, kufundishana... And times things get out of the way between me and her... But we resolve and settle...mi nawakubali sana mkuu. tena huwa nawapongeza daily
though kuna mambo sikubaliani nanyi ambayo naona wazo mnayafanya yawe dramatic hasa hapa jf, may be nyie mnasema siyo drama lakin mnayaweka kwenye drama zone, but kila mtu anatakiwa aish maisha yake
mnaruhusiwa kufanya mnacho taka na mimi naruhusiwa kutoa maoni yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji121][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaan nyie jamaa saa hii nisha wekwa kwenye group lenu!!
acheni kunifundisha tabia mbaya
Kwa nini?utaumbuka vibaya mkuu Wee jifanye kiherehere tyu
:Smart911
Hiyo ni great news maana doh sio kwa taarifa hiyo ya kunyongwa.Yashapita... Shetani mbaya alishindwa jana ile ile...
mi nawakubali sana mkuu. tena huwa nawapongeza daily
though kuna mambo sikubaliani nanyi ambayo naona wazo mnayafanya yawe dramatic hasa hapa jf, may be nyie mnasema siyo drama lakin mnayaweka kwenye drama zone, but kila mtu anatakiwa aish maisha yake
mnaruhusiwa kufanya mnacho taka na mimi naruhusiwa kutoa maoni yangu.
[emoji46][emoji46][emoji46][emoji47][emoji47][emoji47][emoji26][emoji26][emoji26]Unanyongwa na serikali au mtu binafsi?
Mshanyongana wenyewe saivi wepesiiii [emoji23] [emoji23]
Unaleta masihara kwenye mambo ya msingiNipe namba yako ya simu nikutafute ukishanyongwa unisimulie maisha ya huko.
Ulikua na kosa gan!! Ili nass tusidumbukie!! Nitashukuru ukinijib hapa au private ila jibu lako la muhim kwangu
Na mimi piaUlikua na kosa gan!! Ili nass tusidumbukie!! Nitashukuru ukinijib hapa au private ila jibu lako la muhim kwangu