Nimehukumiwa kunyongwa

Nimehukumiwa kunyongwa

Sisi tunawaombea penZi lenu lifike mbali.
Sasa ukija kulia lia hapa hata kama unatania ila ujue mzaha mzaha hutumbukanjibu.
Mmoja wenu kama ni kicheche hakuna namna mtatibuana tu sku yoyote hata kama mje na mashair mangapi.
Moyo ni kuaminiana sio mashairi.
Itakua ttzo hawaaminian,, km wangkua wanaamian wasingleta huu upuuzi et kujua nan anawaona vip,, upuuz tuu…!!
 
Sisi tunawaombea penZi lenu lifike mbali.
Sasa ukija kulia lia hapa hata kama unatania ila ujue mzaha mzaha hutumbukanjibu.
Mmoja wenu kama ni kicheche hakuna namna mtatibuana tu sku yoyote hata kama mje na mashair mangapi.
Moyo ni kuaminiana sio mashairi.

Penzi limechacha!![emoji31][emoji31][emoji31]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaan nyie jamaa saa hii nisha wekwa kwenye group lenu!!
acheni kunifundisha tabia mbaya
 
Saint Ivuga Behaviourist Super women 2
Ice man 3D and others mupooo???

hahaha Nacheka kwa dharaaaau lol

anyway

Thanks again Smart911 swirly for forgiveness

I wrote this thread intentionally kabisa niwajue wenye vijiba na penzi langu na my king Smart911

khakhaakhaa aibu yetu aibu yaooooooooo

aibu yao wenyeweeeee

Nakupenda sana Smart911 mzungu wangu

a muzungu by heart and character lol... hug and kissesssss
muah muaaaaah Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah
Ailavyuuuuuuuuuuuuu my king
sawa, hongera
kuwa makini lakin
[emoji124]
 
mi nawakubali sana mkuu. tena huwa nawapongeza daily

though kuna mambo sikubaliani nanyi ambayo naona wazo mnayafanya yawe dramatic hasa hapa jf, may be nyie mnasema siyo drama lakin mnayaweka kwenye drama zone, but kila mtu anatakiwa aish maisha yake
mnaruhusiwa kufanya mnacho taka na mimi naruhusiwa kutoa maoni yangu.
Hakuna anayekatazwa kutoa maoni... Na huwezi kupata maoni positive always.. Lazima negativity ziwepo in order to learn and grow... Me and mahondaw we have been shaping each other sana... Kuelekezana.. Kuambiana, kufahamishana, kufundishana... And times things get out of the way between me and her... But we resolve and settle...
 
mi nawakubali sana mkuu. tena huwa nawapongeza daily

though kuna mambo sikubaliani nanyi ambayo naona wazo mnayafanya yawe dramatic hasa hapa jf, may be nyie mnasema siyo drama lakin mnayaweka kwenye drama zone, but kila mtu anatakiwa aish maisha yake
mnaruhusiwa kufanya mnacho taka na mimi naruhusiwa kutoa maoni yangu.

But It's our life hatujavunja sheria yoyote humu

yes kila mmoja na lifestyle yake and this is ours mahondaw and Smart911
 
Back
Top Bottom