Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Maandamano ya kenya ni maandamano ya kikabila na yote hii ni kwasababu ruto hatokei kwenye makabila mawili makubwa
Wanapiga sababu mihimili iko nyuma yao, ngoja mihimili iwageuke uone kama watapiga watu the sameYanayotokea Kenya hayawezi fika Tanzania, Police wetu wanapiga si mchezo!
Raisi wa Misiri aliwahi kusema kauli kama hizi na akaongezea kuwa atawasaga waandamanaji kama mende,majuma machache baadae askari aliokuwa amewatuma kuwasaga waandamanaji walizidiwa na hatimaye nao wakaungana na waandamanaji.Yanayotokea Kenya hayawezi fika Tanzania, Police wetu wanapiga si mchezo!
NO REFORMS ON ELECTION YA KENYA NI YA KENYA HUKU TUNA AMANIKamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.
Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.
Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.
Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.
No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
Binadamu wanabadilika, unadhani watanzania wataendelea kuwa waoga forever?Yanayotokea Kenya hayawezi fika Tanzania, Police wetu wanapiga si mchezo!
Mbona hapa Tanzania Samia hatokei kwenye makabila makubwa na hakuna maandamano?Maandamano ya kenya ni maandamano ya kikabila na yote hii ni kwasababu ruto hatokei kwenye makabila mawili makubwa
Wapumbavu kama wewe ndiyo wanaamini hivyo, ila mjue siku yakifika hapa nyie ambao mnajiona mko salama kwa ulinzi wa dola ndiyo mtakuwa wahanga wakubwa. Tanzania hakuna ukabila bali kuna tabaka la CCM na wasio CCM na kwa vile kwa sasa mnajiona mko salama sana na mnajianika siku ikifika haitakuwa shida kuwatambua na kuwashughulikia.Yanayotokea Kenya hayawezi fika Tanzania, Police wetu wanapiga si mchezo!
Natamani nasi tuwe na ujasiri kama huo lakini kama ni ku bet nitabet hatuwezi kufanya hayo. Ndivyo wa TZ tulivyo.Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.
Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.
Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.
Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.
No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
Madaraka mara nyingi huwa yanawafanya watu kuwa vipofu, kutokuona na kusikia katika uhalisia. Yanayoendelea Kenya yapo pia TZ ila tofauti yake ni kwamba hapa kwetu yapo vifuani mwa watu bado hayajatoka nje. Kwa wakenya yapo hadharani.Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.
Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.
Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.
Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.
No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
Ruto ni mkalenjin. Wakikuyu na wakalenjin ndio wameongoza Kenya tangu uhuru. Shida amemtupa Gachagua mkikuyu mapema mno. Halafu Ruto ni fisadi na ana ahadi za uongo.Maandamano ya kenya ni maandamano ya kikabila na yote hii ni kwasababu ruto hatokei kwenye makabila mawili makubwa