Nimeiangalia Kenya kilichotokea jana. Serikali yetu msipuuze wananchi kamwe

Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.

Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.

Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.

Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.

No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
Unajiita Magufuli 05, unatoa ushauri kwa Serikali ya Tanzania kuhusu demokrasia na utawala wa sheria. LAKINI umesahau Magufuli ndiye muasisi wa kutofuata utawalanwa sheria na kuminya demokrasia. Waliopo wanaiga tu na hawajamfikia

Umenichefua vibaya kujiita Magufuli na mada yako imepoteza mvuto
 
Ruto ni mkalenjin. Wakikuyu na wakalenjin ndio wameongoza Kenya tangu uhuru. Shida amemtupa Gachagua mkikuyu mapema mno. Halafu Ruto ni fisadi na ana ahadi za uongo.
Fisiemu imejaa mafisadi ndio maana yanaiba kura ili yabakie. Hasira inawaka kwa wananchi. NRNE.
 
Maandamano ya kenya ni maandamano ya kikabila na yote hii ni kwasababu ruto hatokei kwenye makabila mawili makubwa
Huwa hayaji hivi hv, kama syo ukabila kuna kingine kinaweza kuzusha. Udini ama ukanda. Mbona nyerere aliyasema hayo.
 
Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.

Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.

Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.

Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.

No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
Wewe jifanye unaiga kunya kwa tembo uone utakvyochanika msamba!
 
Hii sio kweli Mkuu.
The way Wanavo simama against Ruto, Ni the way walikua wanamuunga mkono wakati anagombea.

The guy aliwa overpromise Vijana, They have a lot of faith in Him, Of which hajadeliver kama walivo taka.

Sawa na ambavyo Watanzania Walikua na Imani na JK 2005, Na kauli Mbiu yake ya Maisha bora kwa kila Mtanzania akatudisappoint na sidhani kama alishinda uchaguzi wa 2010
Kutoa ahadi na kutekeleza ni vitu viwili tofauti

Mataifa mengi haya yanatokea
Ahadi nyingi ni mbinu za kuingia tu
 
Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.

Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.

Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.

Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.

No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
Sisi ni maiti, maiti haziwezi kufufuka.

Mtaji wa CCM ni watu maiti! Sisis ni maiti
 
Watanzania wanasubiri miujiza ya nyumba na magari kwa Mitume na manabii na huwa wanapata hivyo haina shida kabisa.
 
Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.

Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.

Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.

Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.

No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
Watanzania sio kama wakenya, hii haiwezi kutokea
 
Sisi ni maiti, maiti haziwezi kufufuka.

Mtaji wa CCM ni watu maiti! Sisis ni maiti
Hakuna cha maiti wala nini, sio kila jambo la kuiga. Ujasiri wa katika keyboard usidanganye mtu na sio ajabu AI imefanya kazi.
 
Ujamaa upi unaouzungumzia? Gen Z hawakuwepo wakati wa Ujamaa, hawakuwepo wakati wa mfumo wa chama kimoja kushika hatamu, wameukuta mfumo wa vyama vingi na hawajui mfumo tofauti na huo. Jifanyeni kama mbuni kuficha kichwa wakati kiwili-wili chote kiko nje.

Vv
Kenya wamekuzwa na ubepari tofauti na Tanzania Wajamaa
 
..yanaweza kutokea.

..mliona Wamaasai wa Ngorongoro?

..bila serikali kusalimu amri mnadhani nini kingetokea?

..au majuzi hamkuona vurugu za bodaboda Kigoma?

..sisi Tanzania tuna bahati, ila yaliyowakuta wenzetu yanaweza kutokea hapa kwetu.

NB:

..msisahau yaliyotokea Mtwara wakati wa utawala wa JK na sakata la gesi.
 
Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.

Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.

Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.

Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.

No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
hiyo nonsense mkaifanyie Kenya gentleman,

hakuna upuuzi kama ya Kenya kufanyika Tanzania. It will never happen🐒
 
Sehemu yoyote duniani wanaachi
Wakiamua ni hatari
Wananchi ndiyo umma sasa!
Uliona ile Arabian spring sijui,
Kule srilanka pia nk
Kumbuka nguvu ni ya wananchi syo vyama vya siasa

Ova

..Unguja na Pemba kulitokea ghasia za uchaguzi na watu walipoteza maisha kama ilivyotokea Kenya.

..kuna tukio la maandamano Dsm na mauaji ya Mwembechai.

..Labda Watanzania ni wasahaulifu, lakini watawala wasibweteke kwamba Watz tunao uwezo wa ajabu zaidi kuvumilia dhuluma.
 
Hii sio kweli Mkuu.
The way Wanavo simama against Ruto, Ni the way walikua wanamuunga mkono wakati anagombea.

The guy aliwa overpromise Vijana, They have a lot of faith in Him, Of which hajadeliver kama walivo taka.

Sawa na ambavyo Watanzania Walikua na Imani na JK 2005, Na kauli Mbiu yake ya Maisha bora kwa kila Mtanzania akatudisappoint na sidhani kama alishinda uchaguzi wa 2010
Hiki ndio kilichopo kwa vijana wengi tunapoelekea uchaguzi... Wanasema mitano Tena ya nini kama Hali mbaya bado😁
 
Yanayotokea Kenya hayawezi fika Tanzania, Police wetu wanapiga si mchezo!
Polisi wa Kenya kwani nao walikuwa hawapigi,kutesa,tena hakuna polisi waliyokuwa na roho katili kama wa huko
Sema tu ukatili,watu kuondoa hofu
Wamewatengeneza wenyewe
Watu wanakuambia liwalo na liwe ama zako ama zetu

Ova
 
Back
Top Bottom