BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Wanaach gani? Hawa hawa kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba na wakichoka wanaanza jadili kati ya Alikiba na Diamond nani zaidi? Hakuna wananchi hapa hawa hawezi fikia Wakenya hata wakipewa miaka 1000 ya kuishiKamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.
Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.
Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.
Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.
No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.