Unajiita Magufuli 05, unatoa ushauri kwa Serikali ya Tanzania kuhusu demokrasia na utawala wa sheria. LAKINI umesahau Magufuli ndiye muasisi wa kutofuata utawalanwa sheria na kuminya demokrasia. Waliopo wanaiga tu na hawajamfikiaKamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.
Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.
Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.
Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.
No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
Fisiemu imejaa mafisadi ndio maana yanaiba kura ili yabakie. Hasira inawaka kwa wananchi. NRNE.Ruto ni mkalenjin. Wakikuyu na wakalenjin ndio wameongoza Kenya tangu uhuru. Shida amemtupa Gachagua mkikuyu mapema mno. Halafu Ruto ni fisadi na ana ahadi za uongo.
Huwa hayaji hivi hv, kama syo ukabila kuna kingine kinaweza kuzusha. Udini ama ukanda. Mbona nyerere aliyasema hayo.Maandamano ya kenya ni maandamano ya kikabila na yote hii ni kwasababu ruto hatokei kwenye makabila mawili makubwa
Wewe jifanye unaiga kunya kwa tembo uone utakvyochanika msamba!Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.
Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.
Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.
Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.
No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
Not true; Wakenya wana EXPOSURE, kwa sababu ya ELIMU yao. Ulishafika Usokami, hadi leo hawajui kama Nyerere alishakufaKenya wamekuzwa na ubepari tofauti na Tanzania Wajamaa
Kutoa ahadi na kutekeleza ni vitu viwili tofautiHii sio kweli Mkuu.
The way Wanavo simama against Ruto, Ni the way walikua wanamuunga mkono wakati anagombea.
The guy aliwa overpromise Vijana, They have a lot of faith in Him, Of which hajadeliver kama walivo taka.
Sawa na ambavyo Watanzania Walikua na Imani na JK 2005, Na kauli Mbiu yake ya Maisha bora kwa kila Mtanzania akatudisappoint na sidhani kama alishinda uchaguzi wa 2010
Sisi ni maiti, maiti haziwezi kufufuka.Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.
Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.
Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.
Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.
No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
Mtu akijichakata kuiga hayo familia isilaumu mtu. Kabla hajajaribu, aage kabisa nyumbani.Yanayotokea Kenya hayawezi fika Tanzania, Police wetu wanapiga si mchezo!
Watanzania sio kama wakenya, hii haiwezi kutokeaKamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.
Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.
Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.
Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.
No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
Hakuna cha maiti wala nini, sio kila jambo la kuiga. Ujasiri wa katika keyboard usidanganye mtu na sio ajabu AI imefanya kazi.Sisi ni maiti, maiti haziwezi kufufuka.
Mtaji wa CCM ni watu maiti! Sisis ni maiti
Kenya wamekuzwa na ubepari tofauti na Tanzania Wajamaa
Sehemu yoyote duniani wanaachiKenya wamekuzwa na ubepari tofauti na Tanzania Wajamaa
hiyo nonsense mkaifanyie Kenya gentleman,Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.
Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.
Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza.
Nimeangalia Kenya kwa kweli nimesitikitika. Askari polisi wamepigwa, maduka yameporwa na Raia wameuawa. Ni vituko zaidi ya vituko. For sure yesterday was dust,smoke and blood.
No reforms no Election. Mkipuuza haya yanaweza kutokea kwetu pia.
Sehemu yoyote duniani wanaachi
Wakiamua ni hatari
Wananchi ndiyo umma sasa!
Uliona ile Arabian spring sijui,
Kule srilanka pia nk
Kumbuka nguvu ni ya wananchi syo vyama vya siasa
Ova
Nimecheka sanaaaYanayotokea Kenya hayawezi fika Tanzania, Police wetu wanapiga si mchezo!
Hiki ndio kilichopo kwa vijana wengi tunapoelekea uchaguzi... Wanasema mitano Tena ya nini kama Hali mbaya bado😁Hii sio kweli Mkuu.
The way Wanavo simama against Ruto, Ni the way walikua wanamuunga mkono wakati anagombea.
The guy aliwa overpromise Vijana, They have a lot of faith in Him, Of which hajadeliver kama walivo taka.
Sawa na ambavyo Watanzania Walikua na Imani na JK 2005, Na kauli Mbiu yake ya Maisha bora kwa kila Mtanzania akatudisappoint na sidhani kama alishinda uchaguzi wa 2010
Polisi wa Kenya kwani nao walikuwa hawapigi,kutesa,tena hakuna polisi waliyokuwa na roho katili kama wa hukoYanayotokea Kenya hayawezi fika Tanzania, Police wetu wanapiga si mchezo!