Nimeiangalia Kenya kilichotokea jana. Serikali yetu msipuuze wananchi kamwe

Wanaach gani? Hawa hawa kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba na wakichoka wanaanza jadili kati ya Alikiba na Diamond nani zaidi? Hakuna wananchi hapa hawa hawezi fikia Wakenya hata wakipewa miaka 1000 ya kuishi
 
Hiki ndio kilichopo kwa vijana wengi tunapoelekea uchaguzi... Wanasema mitano Tena ya nini kama Hali mbaya bado😁
vijana gani? na wewe umo kwenye hio list? unawajua Wakenya au mnaongea tu?
 
Umeona mbali sana. Nimeona leo Bunge likihitimishwa. Ni kama vile hakuna lolote wanalodai wananchi. Wanacheza disco la kwaya bungeni
 
Unaweza kusema ni wapi wakenya walipuuzwa hadi wakafikia uko?.Kinachotokea kenya ni matokeo ya uhuru ulipitiliza ambao kuna wajinga wanaona ni ujanja na ujasiri kumbe ni ujinga kwasababu madhara na uharibifu utakaotokea bado utawaathiri wananchi wenyewe.Uhuru ukipitiliza matokeo yake nikuharibu nchi kwasababu kila mtu atajifanyia kichwa chake kinavyomtuma.sasa nchi haiwezi kuongozwa hivyo labda kama mmejizira.
 
Marekaki mbona wanapola pia? Hata France kule, jenga Tabia ya kufuatilia Internationa News, wacha kutwa nzima mnajadili Yanga na Simba
Maandamano ya kenya ni ukora unavunja duka unabeba mali za watu unasema haki hujui kuwa wanamikopo ya benk tz wako san
 
Sio Vifuani huku Watanzania ni wajinga hata wakaambiwa washike ukuta wanashika na wanapigwa miti hakuna kitu watafanya, acha kufananisja Wakenya na Watu wajinga
 
Hawawezi kukuelewa... Mi pia nimewaza hayo pia!!
 
watu wana agenda zao kwenye hayo maandamano, yakiisha wataanza kusifia wakikuyu
 
Wanaach gani? Hawa hawa kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba na wakichoka wanaanza jadili kati ya Alikiba na Diamond nani zaidi? Hakuna wananchi hapa hawa hawezi gikia Wakenya hata wakipewa miaka 1000 ya kuishi
miaka 1000 mingi sana ata tupewe miaka laki hatuwezi kufanya ujinga wanaofanya kenya, na kama ndo unachopenda vuka boda wafuate
 
Kenya are spending more than Tanzania on their people

Kenya economy is bigger than tanzania

But Kenya glorified watu kudharau serikali
 
Mmh!! Sio kweli.
Ndo ukweli huo kwani unataka kusema Kenyatta ndo alikuwa alikuwa bora sana?

Japo waliandamana lakini uhuru mkikuyu na odinga mjaluo waka shake hand ikawa mwisho wa maandamano kwaiyo shida za wakenya ziliisha after shakehand?
 
Huo ni mtazamo wako,
ila siku zote kaa ukijua Tanzania watu wengi ni CCM pia wanao piga kelee ni kikundi cha watu wachache social media ambao bao ni hulka za kutumia sim ili wapate followers wafanye biashara zao .. kuwa makini .
hawa huku mitaani hawana mda na siasa wao wanajua kuchagua ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…