Hamumu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 1,439
- 3,587
Siku iko aje....
Kama kawaida jana jumapili nlitoka katika moja ya bar ya akina sisi wa hali ya kati nikiwa niko tungi kiasi. Kwa vile muda uliyoyoma nikaona nisepe mapema nikapumzike ile niupe mwili nafasi ya kujiandaa na majukumu ya kesho (ambayo ni leo).
Kwa vile nliishiwa cash nikaona nipitie kwa moja ya wakala wa huduma za miamala ya kifedha ili nitoe ela ya kunifikisha ninapoishi + akiba ya kulinda wallet.
Nliuliza kwanza kama naweza kutoa laki 1 na 60 elfu, akaitikia karibu.
Bila kupoteza muda nikapga *150*88# nikafata maelekezo hadi meseji ikarudi kuthibitisha. Akanipa 160k nikateleza hadi ninapoishi. Kwa vile mke wangu nilishamfukuza, nilikumbuka kurudi na nyama choma coz hakuna wa kunipikia.
Nililala fresh, asubuh nmeamka nikanunua umeme wa luku. Cha ajabu nlipoisoma mesej ya halopesa nligundua bado nina salio kubwa lililobaki. Ikabidi niirudie ile mesej ya 160k ya jana usiku.
Kumbe sikutoa 160,000 badala yake nilitoa 16,000. Sasa hapa najiuliza huyu wakala hakuisoma vzr agundue kuwa sikuongeza 0 au na yy ndo alikuwa tungi pia.
Najarib kuwaza kuwa nmeiba au ndo zali.
Pia najiuliza itakuaj kama atagundua na meseji ya muamala inakuwaga na namba ya alietoa ela. Sielew