Hamumu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 1,439
- 3,587
- Thread starter
- #41
Amani ya moyo ni kiyu muhimu sana mkuu. Imagine nimepata rafiki gafla. Then n mtu wa kuajiriwa tu, si mmiliki wa hio mishe. Kwa sasa nina amani sanaSafi sanaa!
Uaminifu unalipa,Ile amani ya moyo baada ya kurudisha inakupa kujiamini nafsi yako kwenye hili.
Natamani CCM wawe hivi waaminifu tungefika mbali kama nchi!