Nimeiba ama ndo zali la mentali

Safi sanaa!

Uaminifu unalipa,Ile amani ya moyo baada ya kurudisha inakupa kujiamini nafsi yako kwenye hili.

Natamani CCM wawe hivi waaminifu tungefika mbali kama nchi!
Amani ya moyo ni kiyu muhimu sana mkuu. Imagine nimepata rafiki gafla. Then n mtu wa kuajiriwa tu, si mmiliki wa hio mishe. Kwa sasa nina amani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…