Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
Pole sana ndo maana mm nikipak lazma nizime swichi ya waya ya pump ya mafuta ili hata ukiwasha utawasha adi ufe haliwaki
 
Watu kama hawa wakikamatwa ni kuuwawa tu ili wengine kesho wajifunze hatuna muda wa kupoteza nao.. Polisi wakiwakamata ni risasi tu..

Weka Picha ya gari, nyingi kadili uwezavyo zisambazwe kwenye magroup meengi ya whatsap ili taarifa zisambae kwa haraka..
 
Hawa Pumbavu sio wakuchekacheka nao, wakikamatwa ni risasi za kichwa mpaka uhakikishe ubongo unasambaa..wananyima watu wema raha za maisha...tukicheka nao watatuzoe na wakituzoea itakuwa ngumu tena kudeal nao.....UNYAMA tu dhidi yao kwa sasa...
 
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246

Pole sana mkuu wahi police utoe taarifa.
 
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
Tunawashauri Kila siku fungeni GPS laki tu ,Unajipa matumaini itazima njiani huyo mwizi si anajaza mafuta.
 
Back
Top Bottom