Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Pole mkuu
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
 
Angalau ungeweka na Picha


Pole sana
 
Hawa Pumbavu sio wakuchekacheka nao, wakikamatwa ni risasi za kichwa mpaka uhakikishe ubongo unasambaa..wananyima watu wema raha za maisha...tukicheka nao watatuzoe na wakituzoea itakuwa ngumu tena kudeal nao.....UNYAMA tu dhidi yao kwa sasa...
mahakama kazi yake nini
 
gari hiyo hapo T893DWT

IMG-20210924-WA0029_kindlephoto-31131111.jpg
 
Back
Top Bottom