Mkuu kaa ukifahamu kwamba aliyekuchorea hayupo mbali...
Jaribu kuwa makini sana na rafiki zako, ndugu n.k...
Matukio mengi majambazi mpaka kuja na bunduki ni mchoro huo...
1-wamefahamu vipi upo nyumbani?
2-wamefahamu vipi una pesa za bank?
3-wameacha nyumba zoooote wamekuja kuvamia kwako?
Kama wamechukua simu, pekeka taarifa kwa mafundi simu wote wale wanaoflash wape taarifa na kuwaahidi zawadi wakiipata, waachie mawasiliano...
Kama ni iPhone na uliweka find my iPhone 'on' itakuwa na urahisi kukupa taarifa ilipo...
Anyway pole sana, kaa kiumakini.. mali zinatafutwa, hasara roho.