Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Pole sana mkuu. Toa taarifa police na endelea kusambaza taarifa mitandaoni zikiwa na details kamili na picha zinazoonekana. Hii itapatikana
 
Ntumie chases no. Yake na laki 2 tu baada ya nusu ntakwambia kko wapi.
Simple like that! Bora ungemwambia akutumie hiyo chasis no, na ukifanikisha basi akutoe hiyo posho.

Katika mazingira ya aina hii, siyo vizuri kutoa msaada huku ukitanguliza pesa mbele! Maana na matapeli nao wanaweza kuchukulia jambo hili kama fursa kwao.
 
Amenifedhesha sana baba ake mdogo hapa.
 
N mkoa gan mkuu pia ungetaja wilaya Kata kijiji na Barabara ambazo unahis watapita wahi police na weka watu wapelelez binafs naamin utafanikiwa
 
Duh aiseee pole sana. I hope umeshatoa taarifa kitu cha polisi na tayari wameshaweka macho maeneo yyote ambayo gari inaweza pitishwa ndani ya muda huu.....

Unaweza tupatia details zaidi kuwa gari ulipaki wapi katika hilo eneo, wewe ulikuwa wapi na ilichukua muda gani kugundua umeibiwa.

Ufunguo uliweka wapi?!

Ndani ya hizi siku kadhaa nyuma ni maeneo gani uliachia ufungua kwa mtu yaani funguo hukuwa nazo mikononi mwako ?!

Haya maswali yatatoa mwanga tujue namna ya kukushauri cha kufanya.
Amesema imeibiwa nyumbani kwake mda huo aliopost. Au mimi ndio sijaelewa?
 
Pole ndugu, ila maswali yangu ni

1.Ufunguo walipatia wapi?
2.uliliweka sehemu gani?
 
Pole sana mkuu, Mungu akusaidie ulipate.
 
police kwanza alafu tangaza kwenye mitandao na magrupu
 
Kwa Hali ya Sasa hivi, ni vizuri tununue magari ya bei nafuu. Beetle, Toyota Starlet, Toyota Corolla, nk. Hata spea zake ni bei nafuu.
Hiyo yenyewe iliyoibiwa inazidiwa bei na Corolla. Sijipe moyo
 
Back
Top Bottom