Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Walinifunga kamba wakaniuliza ufunguo ulipo, s imu, kad I za banki namba za siri bunduki ikiwa kichwani
Wakiingia ATM tu unao Bro, pole sana pia. Vipi simu kwanini usijaribu kui track kama bado ipo on itakusaidia, fanya kui search.

Ubaya wa ushauri unaweza kuta hata mwizi wako yupo JF anafuatilia uzi, akachukua tahadhari.

Pole sana Mkuu.
 
Pole sana Boss uhalifu umekua mkubwa Tanzania na hali inatisha sana kwa ufupi suala la usalama limekua changamoto magufuli na mabaya yake aliua mitandao ya kishenzi ya kihalifu lakini kwa sasa hapana.
 
Muacheni apumzike
 
Mkuu hebu tulia basi umtie moyo mwenzio,kwani kwa haraka haraka anayeiba ni nani?
Nina mashaka sana na huyu aliyeuliza hilo swali.

Ameshaonesha kuna kitu anafahamu na anatuchora tu hapa
 
Nimeshawahi kuibiwa gari najua machungu yake. Nilifuatilia sana nilitumia pesa mpk ningeweza kununua hata gari nyingine ndogo na nilichemsha. Mpaka leo sijaipata ila nilifanikiwa sanq kuuelewa mfumo wa wezi wa magari na ushirika wao na wazee
 
Back
Top Bottom