Nimeshawahi kuibiwa gari najua machungu yake. Nilifuatilia sana nilitumia pesa mpk ningeweza kununua hata gari nyingine ndogo na nilichemsha. Mpaka leo sijaipata ila nilifanikiwa sanq kuuelewa mfumo wa wezi wa magari na ushirika wao na wazee
Wazee ndio michongo yao hiyo hata ile ya kuvamia mtu akiwa katoka kutoa pesa bank ni michongo ya wazee na mateller wanaotaka kutembelea harrier tako la nyani huku wakijenga mansion makongo juu