Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Duh aiseee pole sana. I hope umeshatoa taarifa kitu cha polisi na tayari wameshaweka macho maeneo yyote ambayo gari inaweza pitishwa ndani ya muda huu.....

Unaweza tupatia details zaidi kuwa gari ulipaki wapi katika hilo eneo, wewe ulikuwa wapi na ilichukua muda gani kugundua umeibiwa.

Ufunguo uliweka wapi?!

Ndani ya hizi siku kadhaa nyuma ni maeneo gani uliachia ufungua kwa mtu yaani funguo hukuwa nazo mikononi mwako ?!

Haya maswali yatatoa mwanga tujue namna ya kukushauri cha kufanya.
Mara nyingine michongo huanzia show room uliyonunulia
 
Walinifunga kamba wakaniuliza ufunguo ulipo, s imu, kad I za banki namba za siri bunduki ikiwa kichwani
Ila hayo majizi kuyakamata ni rahisi sana. Sababu mwizi unachukuaje kadi ya ATM [emoji763] kitu ambacho tayari ni kama kujiweka tag mgongoni?!


Hao mtawakamata in no time.
 
Mzee hiyo ni mbinu ya kitaalamu sio uchawi na itanikost mda sanaa anyway hiyo hela ni kwa ajili ya bando tu kwani lazima ni dowload file la mistubishi pajero then ni tress chases namba magari mengi yanakuwa na direct signal ambayo inakuwa imefichwa kwenye chases no. Za mistubishi zote made kuanzia elfu 2000 kuja juu. Ila anaona ni usumbufu anaweza omba police wamsidie nilikuwa najitolea tu.
Kwann usimpigie mhanga wa tukio na kumpa msaada pengine msaada wako unaweza kukupatia fursa nzuri zaidi ya hiyo laki 2.
 
Polisi mkishakamata hawa wahusika na kumaliza kazi yenu....pigeni risasi woote na miili yao funga mawe kawapatie samaki msosi dip sea huko wajenge afya.... Mahakama acha zifanye kazi nyingine kuliko kupoteza muda na wajinga hawa...
Haya majitu sio ya kucheka nayo hata kidogo. Ni wakuwatokomeza. Miili yao itumike kufanyia tafiti za chanjo ya corona.

Maana kama wamejitoa ufahamu na kuiba wakijua wakikamatwa adhabu ni kifo then hawa ni wa kuwatoa kafara tu wapumbavu wakubwa.
 
Si mpaka aombe mwenyewe mzee nikimfuata ataona nataka kumpiga mzee cha msenge aende pale DIT kuna vijana wanasomea automobile watamsadia mimi itanipotezea tu mda na hela hatonipa aombe wasiwe wameshaikatakata vipande.
Muda mwingine fanya kujitolea tu huwezi jua utalipwa vikubwa kuliko matarajio....... Jitolee
 
Tulia kijana labda kama wataharibu mfumo wa umeme kwenye gari .mimi hata kama wataharibu yani ikiwashwa tu redio ya gari wamekwisha nakwambia gari ilipo.ila inacost mda na pesa unaweza kaa sehemu moja masaa sita unasubiri alarm tu ilie.
Kwann usifanye hivyo bro wao walipie gharama... Kama tu una uhakika hiyo kitu yako inawezekana kufanyika
 
Hebu mkuu nielekeze hii kitu[emoji848]
Tatizo nikuwa hii mbinu ishakuwa hadharani kwa muda sasa, pengine washajua hata kupiga jumper wakikutana na hiyo hali, tafuta nyingine kibingwa, itumie kimya kimya, mpaka ijulikane, pengine miaka 8 umekaa kwa amani kidogo ya kuwa wataweza kubeba vitu wakakuachia skeleton.
 
hii story mbona kama imekaa "kichaichai"?.

nimejaribu kujiuliza maswali.

kwanini picha ya gari ni moja tu?.

kwanini picha ya gari haina ubora(pixelated image)?.

mleta mada unatuchuliaje?....lengo hasa ni nini?....ku-create attention?....unapata faida gani kwa kufanya hivyo?.
 
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246

View attachment 1999715
Pole sana kiongozi. Kuna watu kazi yao ni kurudisha maendeleo ya wenzao nyuma. Umejipanga kununua gari ikusaidie kwa usafiri, na mtu au watu wengine wao wanaona haikufai, bali inawafaa wao.
 
Kama hii siyo chai, nakupa Pole sana, kama wameiba na vingine vingi ambavyo havitajiki probably unajua kinachoendelea, hiyo siyo gari ya kuja kuibiwa na silaha
 
Mbon unapokea mabaya, nmesem "angalau angewek pcha"

so usinge jibu shombo zako nying za kulaumu, rudia kusoma hakipo kwenye amri au hakionyesh kuw lazm awe na pcha

Labda unjejb labd han pcha
Kama hakupiga picha je? Watu bwana utafikiri bidhaa inauzwa[emoji23]. Weka pichaa[emoji23]. Siyo kila mtu anatabia ya kupiga piga picha ya gari lake.
 
Back
Top Bottom