Nobody But Me
Senior Member
- May 4, 2021
- 160
- 111
[emoji23][emoji23][emoji23]jambazi ni cheo....hata wewe ukiiba tunakupa nyota vilevile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]jambazi ni cheo....hata wewe ukiiba tunakupa nyota vilevile
Tupo wengi tu. [emoji16]Eti Kuna watu hawajui pajero au land cruiser ilivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee wapi hao mkuu?Nimeshawahi kuibiwa gari najua machungu yake. Nilifuatilia sana nilitumia pesa mpk ningeweza kununua hata gari nyingine ndogo na nilichemsha. Mpaka leo sijaipata ila nilifanikiwa sanq kuuelewa mfumo wa wezi wa magari na ushirika wao na wazee
Askari sidhani kama kuna wazee wengine hapoWazee wapi hao mkuu?
Bro jf nawangaji wengi sanaUnajua bei ya hii gari au umeamua tu kuja kuongea hapa?!
Pole mkuuNi gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
View attachment 1999715
Hivi ushawahi kuibiwa wewe hata penseli???hii story mbona kama imekaa "kichaichai"?.
nimejaribu kujiuliza maswali.
kwanini picha ya gari ni moja tu?.
kwanini picha ya gari haina ubora(pixelated image)?.
mleta mada unatuchuliaje?....lengo hasa ni nini?....ku-create attention?....unapata faida gani kwa kufanya hivyo?.
Kwani utendaji wa Magu umeusahau wizi wizi kama huu ukitokea anaanza kushuka na RPCAcha kuingiza siasa za kumtukuza huyo magufuli wenu kila sehemu bhana! Mtu ameibiwa gari, nyinyi mnaleta siasa za kumtukuza marehemu!
Eti mnyonge mnyongeni.....!!! Mkiulizwa kuhusu zilipoTrillion 1.5 mnaanza kujikanyaga kanyaga hapa!
qummer ww mwili wako wote Una harufu hiyoSili mashoga
Jifunze kubalance kinyeo
hakuna mtu anazuia hilo, ila haiwezekani mwenzio ana maumivu unakuja andika upuuuzi huo..Chuki kwa Magu itainyofoa roho yako mkuu.
Huwezi kuzuia watu kuongelea ushupavu na uhodari wa Magu.
Na bado muda utaongea zaidi.
Kwenye chaguzi watakaopita ni wale watakaoahidi kufanya kama Magu!
Pole sana Mkuu, MUNGU akutie nguvu na kukufanikisha ktk kupata gari yako, maana mimi niliibiwa simu tu akili ikaruka.Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
View attachment 1999715
Itakuwa ni wewe au siyo?!!!
hii story mbona kama imekaa "kichaichai"?.
nimejaribu kujiuliza maswali.
kwanini picha ya gari ni moja tu?.
kwanini picha ya gari haina ubora(pixelated image)?.
mleta mada unatuchuliaje?....lengo hasa ni nini?....ku-create attention?....unapata faida gani kwa kufanya hivyo?.
Soma nimekujibu kwenye comment hapo juu ila sijui unataka kutetea nini?hii story mbona kama imekaa "kichaichai"?.
nimejaribu kujiuliza maswali.
kwanini picha ya gari ni moja tu?.
kwanini picha ya gari haina ubora(pixelated image)?.
mleta mada unatuchuliaje?....lengo hasa ni nini?....ku-create attention?....unapata faida gani kwa kufanya hivyo?.
Pole sana, huenda taarifa yako polisi ungesema umewaona wanachadema unaowatilia shaka ndani ya gari hiyo, hii Post isingekuwa hapa maana lingekuwa limepatikana chini ya dk 15.Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
View attachment 1999715View attachment 2000213
Funguo niliwapa mwenyewe walitaka kunipiga risasi baada ya kukosa hela waliiba vitu vingine vingi wakatumia gari kama gateawayDuh aiseee pole sana. I hope umeshatoa taarifa kitu cha polisi na tayari wameshaweka macho maeneo yyote ambayo gari inaweza pitishwa ndani ya muda huu.....
Unaweza tupatia details zaidi kuwa gari ulipaki wapi katika hilo eneo, wewe ulikuwa wapi na ilichukua muda gani kugundua umeibiwa.
Ufunguo uliweka wapi?!
Ndani ya hizi siku kadhaa nyuma ni maeneo gani uliachia ufungua kwa mtu yaani funguo hukuwa nazo mikononi mwako ?!
Haya maswali yatatoa mwanga tujue namna ya kukushauri cha kufanya.