Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

hii story mbona kama imekaa "kichaichai"?.

nimejaribu kujiuliza maswali.

kwanini picha ya gari ni moja tu?.

kwanini picha ya gari haina ubora(pixelated image)?.

mleta mada unatuchuliaje?....lengo hasa ni nini?....ku-create attention?....unapata faida gani kwa kufanya hivyo?.
Hivi ushawahi kuibiwa wewe hata penseli???

Huwezi kuhisi mleta mada amechanganyikiwa hata kuileta tu taarifa hapa anastahili pongezi, pengine angekua amezimia,

Unayajua majambazi wewe hasa yakivamia ndani kwako,

Msipende ujuaji kwenye kila kitu, vingine mkiona vimekuzidi kimo mnakausha tu.
 
Acha kuingiza siasa za kumtukuza huyo magufuli wenu kila sehemu bhana! Mtu ameibiwa gari, nyinyi mnaleta siasa za kumtukuza marehemu!

Eti mnyonge mnyongeni.....!!! Mkiulizwa kuhusu zilipoTrillion 1.5 mnaanza kujikanyaga kanyaga hapa!
Kwani utendaji wa Magu umeusahau wizi wizi kama huu ukitokea anaanza kushuka na RPC
 
Chuki kwa Magu itainyofoa roho yako mkuu.
Huwezi kuzuia watu kuongelea ushupavu na uhodari wa Magu.
Na bado muda utaongea zaidi.
Kwenye chaguzi watakaopita ni wale watakaoahidi kufanya kama Magu!
hakuna mtu anazuia hilo, ila haiwezekani mwenzio ana maumivu unakuja andika upuuuzi huo..

we hata ka unapenda sifia umashuhuri wa bwanako kitandani hebu jaribu siku kamsifie kwa babako mzazi au kiongozi wako wa dini...

kila jambo na wakati wake
 
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246

View attachment 1999715
Pole sana Mkuu, MUNGU akutie nguvu na kukufanikisha ktk kupata gari yako, maana mimi niliibiwa simu tu akili ikaruka.
 
hii story mbona kama imekaa "kichaichai"?.

nimejaribu kujiuliza maswali.

kwanini picha ya gari ni moja tu?.

kwanini picha ya gari haina ubora(pixelated image)?.

mleta mada unatuchuliaje?....lengo hasa ni nini?....ku-create attention?....unapata faida gani kwa kufanya hivyo?.
IMG_20211105_222444.jpg
 
Soma nimekujibu kwenye comment hapo juu ila sijui unataka kutetea nini?
 
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246

View attachment 1999715View attachment 2000213
Pole sana, huenda taarifa yako polisi ungesema umewaona wanachadema unaowatilia shaka ndani ya gari hiyo, hii Post isingekuwa hapa maana lingekuwa limepatikana chini ya dk 15.
 
Duh aiseee pole sana. I hope umeshatoa taarifa kitu cha polisi na tayari wameshaweka macho maeneo yyote ambayo gari inaweza pitishwa ndani ya muda huu.....

Unaweza tupatia details zaidi kuwa gari ulipaki wapi katika hilo eneo, wewe ulikuwa wapi na ilichukua muda gani kugundua umeibiwa.

Ufunguo uliweka wapi?!

Ndani ya hizi siku kadhaa nyuma ni maeneo gani uliachia ufungua kwa mtu yaani funguo hukuwa nazo mikononi mwako ?!

Haya maswali yatatoa mwanga tujue namna ya kukushauri cha kufanya.
Funguo niliwapa mwenyewe walitaka kunipiga risasi baada ya kukosa hela waliiba vitu vingine vingi wakatumia gari kama gateaway
 
Back
Top Bottom