Nimeibiwa Ng'ombe 10 Kisiju

Hatimae wana kisiju wamekunyoosha vilivyo, wewe si ulienda kisiju kuhesabu misikiti sasa wahesabu ng'ombe.
 
Please naomba namba yako kama unajua jinsi ya kuzindika mifugo
 
Mzee nakuomba namba yako ikiwezekana nisaidie wezi wananifilisi kila siku
 
Hao ni wagogo wale jamaa dakika kumi nyingi unakuta wamechinja wamekuachia utumbo na kichwa ..waliina sana kwetu kigamboni wakakamatwa ni wagogo ndo michezo yao
 
Kuna waliokuja kuiba Ng'ombe wiki ilopita walidhani ni WA kuokota sasa yule aletangulia aliingizwa pembe kwenye jicho (usiulize jicho lipi) nikasikia vishindo vya wenzie wakikimbia nami nikakausha kama sijui chochote Hadi asubuhi nikamalizana nae kimyakimya bongo pesa haipatikani kizembe labda Kwa wanasiasa lakini huku chino lazima tuadabishane
 
Huko mkoa wa pwani, Nilibiwa na wali wachinja ng'ombe watano wa maziwa. Aysee asubuhi nilitalifiwa hata kzn sikwenda...
Mungu mkubwa sasa wale ndama walio achwa ni wakubwa na maisha yanaendelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…