Nimeibiwa, nitamkamataje huyu mtu!?

Nimeibiwa, nitamkamataje huyu mtu!?

Huyo Jamaa mwenyewe nilimuona Kupatana,nikawa sina imani nakumbuka humu nilimuuliza Chief Mkwawa akanambia niwe makini tuu nikaona jamaa mwizi nikaachana nae....
 
Hapa ni simple tu mkuu. Usiwaze sana. NENDA KAMLOGE TUMBO LIJAE MAWE. Inatosha sana.

Sidhani kama ni busara kuchukua uamuzi wa kufanya mambo ya kishirikina. Nini ushirikina? Haya mambo ya kutapeliwa/kuibiwa ni mambo ya kawaida yanatokea sana katika maisha. Siku zote tunajifunza kutokana na makosa, tunamuachia Mungu na maisha yanaendelea. Huyo jamaa kumkamata ni rahisi sana, wala haina haja ya kwenda kwa waganga wa kienyeji kupoteza pesa.
 
Sure bro
 
Weeeeeeeeee! Ni kawaida wapi. Unajua hizo hela amezipata vipi. Kuloga sio lazima utumie pesa unatengeneza nyumbani kwako kombora moja matata sana. Au amtumie radi kabisa akatike mikono. Sisi wafanyabuashara waadilifu tunakosa uaminifu kwa matapeli kama hawa unasema ni kawaida. Akikamatwa na polisi siku mnili katoka kwa kuhonga milioni kisha anatapeli milioni tano. Hakuna namna nyingine ni kumkomesha tu. Au ndio wewe mwizi mwenyewe tukutoe mikono na vidole vya miguu
 
Wala usihangaike na polisi na mitandao ya simu, nina kesi nimeibiwa pesa kupitia tigo pesa, nimezungushwa mpkaka wakachoka wakaniambia niende polisi, nimeenda cyber crime miezi sasa hata dalili ya watu kulifanyia kazi halipo.
 
Watu kama hawa wanafanya wanunuzi wakose imani na wafanya biashara wa kweli. Inabidi mtu uwe makini sana. Usikubali kutuma fedha kiholela.
Kutuma pesa.. Hahha mm situmii pesa mkuu hata iweje... Nishapoteza imani sana..

Kuna kipindi nilikuwa nauza simu yangu samsung s3 nikai post kupatana.. Akatokea mtu anaitaka ni mdadah.. Akanipigia simu. Nikamtumia picha za simu.. Kwa kuwa wote tuko dar, na yeye alidai anakaa mwenge so tukasema tuonane pale mlimani City..
Nikiwa njiani naelekea mlimani City.. Akanipigia akasema amepata dharau kidogo anakuja kaka ake kuonana na mm hivyo hato kuja yeye.. Mm nikasema anyway hakija aribika kitu...
Akanipa number ya huyo kaka ake.. Kabla hata sija mpigia huyo kaka ake akanipigia mm.. Akasema ameshafika mlimani City.. So ananisubiri mm tuu...
Mm nimefika tukaonana, akaikagua akasema iko fresh so anailipia.. Bt akasema hana cash anayo pesa kwenye tigopesa.. Nikaona muda ushaenda hivyo nikamwambia niwekee kwenye tigopesa yangu,, pale pale a kanitumia nikaona text from tigopesa na hela ikiwa yote, + ya kutolea.. Nikapanda pikipiki hadi ubungo kufika ubungo nikasena niitoe kwa sababu kuna stuffs nilitaka nunua..
Hahaha.. Nakuta hela hakuna..

Yaani ule muda tumeachana alipiga simu customer care akidia amekosea kutuma hela.. Transactions ikawa canceled... Bt nilimpata.. Sema nilitumia njia za panya.. Yeye pamoja na huyo sister... Kupatana kuna matapeli sanaa... Mm huwa situmii hela nafanya cash business.. Nishapoteza imani..
 
Weeeeeeeeee! Ni kawaida wapi. Unajua hizo hela amezipata vipi. Kuloga sio lazima utumie pesa unatengeneza nyumbani kwako kombora moja matata sana. Au amtumie radi kabisa akatike mikono. Sisi wafanyabuashara waadilifu tunakosa uaminifu kwa matapeli kama hawa unasema ni kawaida. Akikamatwa na polisi siku mnili katoka kwa kuhonga milioni kisha anatapeli milioni tano. Hakuna namna nyingine ni kumkomesha tu. Au ndio wewe mwizi mwenyewe tukutoe mikono na vidole vya miguu

Ukipenda sana ushirikina matokeo yake ni kuwa Mchawi.
 
Kutuma pesa.. Hahha mm situmii pesa mkuu hata iweje... Nishapoteza imani sana..

Kuna kipindi nilikuwa nauza simu yangu samsung s3 nikai post kupatana.. Akatokea mtu anaitaka ni mdadah.. Akanipigia simu. Nikamtumia picha za simu.. Kwa kuwa wote tuko dar, na yeye alidai anakaa mwenge so tukasema tuonane pale mlimani City..
Nikiwa njiani naelekea mlimani City.. Akanipigia akasema amepata dharau kidogo anakuja kaka ake kuonana na mm hivyo hato kuja yeye.. Mm nikasema anyway hakija aribika kitu...
Akanipa number ya huyo kaka ake.. Kabla hata sija mpigia huyo kaka ake akanipigia mm.. Akasema ameshafika mlimani City.. So ananisubiri mm tuu...
Mm nimefika tukaonana, akaikagua akasema iko fresh so anailipia.. Bt akasema hana cash anayo pesa kwenye tigopesa.. Nikaona muda ushaenda hivyo nikamwambia niwekee kwenye tigopesa yangu,, pale pale a kanitumia nikaona text from tigopesa na hela ikiwa yote, + ya kutolea.. Nikapanda pikipiki hadi ubungo kufika ubungo nikasena niitoe kwa sababu kuna stuffs nilitaka nunua..
Hahaha.. Nakuta hela hakuna..

Yaani ule muda tumeachana alipiga simu customer care akidia amekosea kutuma hela.. Transactions ikawa canceled... Bt nilimpata.. Sema nilitumia njia za panya.. Yeye pamoja na huyo sister... Kupatana kuna matapeli sanaa... Mm huwa situmii hela nafanya cash business.. Nishapoteza imani..
Duuu pole sana Mkuu yaani wenzetu wazungu wanaendelea kwasababu mtu unafanya nao biashara ya Kuaminika na hawana Longolongo kama wabongo ndo maana wafanya biashara wakujitegemea wengi hawauzi kisa kukosa uaminifu mtu anamua bora aende kwa yule anae lipa Kodi kuliko hawa wa mtaani
 
Kutuma pesa.. Hahha mm situmii pesa mkuu hata iweje... Nishapoteza imani sana..

Kuna kipindi nilikuwa nauza simu yangu samsung s3 nikai post kupatana.. Akatokea mtu anaitaka ni mdadah.. Akanipigia simu. Nikamtumia picha za simu.. Kwa kuwa wote tuko dar, na yeye alidai anakaa mwenge so tukasema tuonane pale mlimani City..
Nikiwa njiani naelekea mlimani City.. Akanipigia akasema amepata dharau kidogo anakuja kaka ake kuonana na mm hivyo hato kuja yeye.. Mm nikasema anyway hakija aribika kitu...
Akanipa number ya huyo kaka ake.. Kabla hata sija mpigia huyo kaka ake akanipigia mm.. Akasema ameshafika mlimani City.. So ananisubiri mm tuu...
Mm nimefika tukaonana, akaikagua akasema iko fresh so anailipia.. Bt akasema hana cash anayo pesa kwenye tigopesa.. Nikaona muda ushaenda hivyo nikamwambia niwekee kwenye tigopesa yangu,, pale pale a kanitumia nikaona text from tigopesa na hela ikiwa yote, + ya kutolea.. Nikapanda pikipiki hadi ubungo kufika ubungo nikasena niitoe kwa sababu kuna stuffs nilitaka nunua..
Hahaha.. Nakuta hela hakuna..

Yaani ule muda tumeachana alipiga simu customer care akidia amekosea kutuma hela.. Transactions ikawa canceled... Bt nilimpata.. Sema nilitumia njia za panya.. Yeye pamoja na huyo sister... Kupatana kuna matapeli sanaa... Mm huwa situmii hela nafanya cash business.. Nishapoteza imani..
Wezi wap PC kupatana ndo kwao..usije ukakubali kulipwa kwa mpesa wala usije kumeet na mteja wako sehem sio za public. .

Wezi wengi wa kupatana wanatokea sinza....wasione umepost Pc kalii
 
Hebu ngoja na mimi leo nitembelee huko KUPATANA nijionee
 
Kutuma pesa.. Hahha mm situmii pesa mkuu hata iweje... Nishapoteza imani sana..

Kuna kipindi nilikuwa nauza simu yangu samsung s3 nikai post kupatana.. Akatokea mtu anaitaka ni mdadah.. Akanipigia simu. Nikamtumia picha za simu.. Kwa kuwa wote tuko dar, na yeye alidai anakaa mwenge so tukasema tuonane pale mlimani City..
Nikiwa njiani naelekea mlimani City.. Akanipigia akasema amepata dharau kidogo anakuja kaka ake kuonana na mm hivyo hato kuja yeye.. Mm nikasema anyway hakija aribika kitu...
Akanipa number ya huyo kaka ake.. Kabla hata sija mpigia huyo kaka ake akanipigia mm.. Akasema ameshafika mlimani City.. So ananisubiri mm tuu...
Mm nimefika tukaonana, akaikagua akasema iko fresh so anailipia.. Bt akasema hana cash anayo pesa kwenye tigopesa.. Nikaona muda ushaenda hivyo nikamwambia niwekee kwenye tigopesa yangu,, pale pale a kanitumia nikaona text from tigopesa na hela ikiwa yote, + ya kutolea.. Nikapanda pikipiki hadi ubungo kufika ubungo nikasena niitoe kwa sababu kuna stuffs nilitaka nunua..
Hahaha.. Nakuta hela hakuna..

Yaani ule muda tumeachana alipiga simu customer care akidia amekosea kutuma hela.. Transactions ikawa canceled... Bt nilimpata.. Sema nilitumia njia za panya.. Yeye pamoja na huyo sister... Kupatana kuna matapeli sanaa... Mm huwa situmii hela nafanya cash business.. Nishapoteza imani..

Mkuu ni bora iwe cash kama unauza kitu. Na kama unanunua usikubali kutoa hela kabla hujauona mzigo.

Huyu jamaa inaonekana ni mtu wa tamaa sana.
Mcbook for $100??? Be serious !!
 
Halafu ni tapeli ambaye habadilishi mbinu hivyo kum daka ni rahisi sanaa..... Ngoja nicheck nimwambie nataka hiyo McBook ... Uone thinking capacity yake ilivyo - 0
 
Kuishi ni kujifunza, kuna mtu nilinunua kitu kwa M-PESA lakini hakuniruhusu kuondoka mpaka aitoe cash yake. Nikajiuliza palepale nikapata picha kwamba keshawahi kupigwa so hataki stories ijirudie.

Nikawa nimejifunza kitu, just like kilichokutokea hivyo na mimi niko smart sitaki biashara za mitandao.
 
Wakuu mbona hamjifunzi, huyu mtu ameletwa mara kadhaa hapa,

USHAURI WANGU:
Usitume pesa wala kufanya biashara za Jf au kupatana bila ya kuona bidhaa physically, kama mtu yuko mbali na labda hauna mtu wa kukuhakikishia juu ya uwepo wa bidhaa hiyo USINUNUE haijalishi ni bei rahisi kiasi gani.
 
Nilimuliza wewe Ludewa unapokea vipi mizigo akasema inatumwa zanzibar yeye ndo anako pokelea na kupelekwa Ludewa inaweza kuwa ni mzanzibar huyo jamaa
Yeah tena Zanzibar pale Mchambawima.
 
Halafu ni tapeli ambaye habadilishi mbinu hivyo kum daka ni rahisi sanaa..... Ngoja nicheck nimwambie nataka hiyo McBook ... Uone thinking capacity yake ilivyo - 0

Usisahau kuleta mrejesho mkuu.
Na mimi nilitaka kuweka advert huko kupatana ila kwa hali hii hawa jamaa wamekosesha watu imani
 
Back
Top Bottom