Nimeibiwa, nitamkamataje huyu mtu!?

Nimeibiwa, nitamkamataje huyu mtu!?

Usisahau kuleta mrejesho mkuu.
Na mimi nilitaka kuweka advert huko kupatana ila kwa hali hii hawa jamaa wamekosesha watu imani
Mkuuu jionee mwenyewe pale.. number yake pale juu na anajibu ipo.... Je huyu tapeli anabadilisha mbi
Usisahau kuleta mrejesho mkuu.
Na mimi nilitaka kuweka advert huko kupatana ila kwa hali hii hawa jamaa wamekosesha watu imani
Kama alivyo mdanganya jamaaa..

Huyu mtu kukamatwa na rahisi sana... Sema inahitaji akili tuu mkuu unaweza jionea number yake na anavyo jibu....
Moja : hayuko njombe..
 

Attachments

  • Screenshot_2016-03-13-13-01-01.png
    Screenshot_2016-03-13-13-01-01.png
    34.8 KB · Views: 60
TCRA NI JIBU HAWANA UWEZO WA KUWAKAMATA WAHALIFU WA MTANDAO
Hapa ni kutumia njia ya panya mkuu..... Ukitumia njia za TCRA sijui police... Utazungushwa sanaa... Hapa unaset mipango tuu.. na kuwa na police wawili..
Huyu jamaa anakamatika.
 
Pole jaribu kucheck na watu wa kupatana, hapa umekutana na wale jamaa zangu wa vifaa vya matrekta, dawa za kusafishia maji na kadhalika, Mr. Peter na wenzake
 
Huyo jamaa yupo Dar...hiyo njombe sijui ludewa ni cover tu,lakini siku zake zinahesabika,pole sana mliopigwa
-picha hizo ka Google
-Bei haiendani na bidhaa
-Anadai mzigo unapokelewa znz alafu anatumiwa lakini cha ajabu vitu vyake ni bei rahisi sana,hizo gharama za kutuma mzigo anafidia wapi??
 
Ubaya watu wengi tunaofanya manunuzi huwa tunakurupuka sana kiukweli. OP umefanya jambo la maana sana, ili kuleta uzi huu hapa jf, wengi wetu watajifunza na hili. Ila mpaka sasa watu wengi hatupo makini sana na vitu tunavyonunua kikubwa tunachoangaliaga ni bei kuwa nafuu sana kuliko kwa watu wengine.
jjme6v.jpg
 
Kuna mmoja nae yupo Facebook amefungua akaunti katumia jina la Babu Tale,ameshawahi kunipiga hela mimi na mshikaji wangu anajifanya anauza nguo,pamba za ukweli.Ogopa sana huyo mtu.Mkuu kama kweli una mganga anaweza kufanya kazi ya kumvimbisha mtu tumbo,ni-PM.Maana nina hasira nae sana huyu mpuuzi.
 
Karipoti polisi mkuu...hamalizi wiki huyo wanamkamata...siku hizi kuna kitengo cha cyber crime wako vizuri balaaaa. Mi nilibiwa iphone 6, kuna kifaaa wanacho polisi kina lokate popote ulipo...mwizi wangu alikutwa bar na simu
Ilikuchukua mda gani wapo wapi na gharama zao vipi? ili nikiibiwa siku niende ila huyu nae angeenda
 
Niliona huko kupatana hiyo mac book kwa laki 4.5 lakini nashukuru sikuwa na hela nilitamani nipate sikuweza nashukuru sitajaribu kununua vitu mtandaoni mpaka niione kwa macho
 
Kanuni yangu ya kwanza kabla sijanunua kitu, kukikagua kwanza then natoa mtonyo hz mishe za biashara za mitandao mm zimenikalia kushoto sana.
 
Mhusika ambaye ndiye aliyepotelewa na hizo id na simu yake ni mtumishi mwenzangu ila jamaa anavitumia. Kumchafua licha ya kuwa amesharipoti polisi kitengo cha c .crime ila polisi wamekua wazito kufanya hilo.
Ombi langu kwa kua humu kuna wajanja wengi wa mtandao ambao naamini wanauwezo wa kufanya ata tracking bhas waungane kwa pamoja na mhusika kuweza kumsaidia kumpata mbaya wake.Kwa aliyetayari bhas naomba anipm niweze mpatia mawasiliano ya michael mhagama orijino acha huyo tapeli ili tuone namna gani twaweza msaidia.
Napenda kuwapa taarifa kwamba mhusika mwenyewe ambaye ndie mmliki halali wa hayo majina hana hata akaunti ya jamiiforum na mpaka jana usiku alikuwa akigangaika hata kupata tu sehemu ambayo uzi huu umewekwa mpaka nilipo mshare via wasap ndipo akaweza ona nini kinachoendelea aliyetayari kushirikiana nami kupitia hili niko tayari
 
Back
Top Bottom