Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Pole mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauli mzuli lakini wezi wanakasirisha Sana ,Mimi 2016 niliibiwa godoro,TV ,redio,begi la nguo likiwa tupu vingine wakaacha .niliumia Sana tena Sana Kwa sababu walimwaga chini vyetu vyangu.mda mwingine wakomeshwe tuuMwachie Mungu, jipange kivingine.....mambo ya waganga unajitafutia matatizo makubwa zaidi.
Wiring ukifanya ukaondoka na huna mlinzi lazima ile kwako. Na watoa connection ni mafundi hao hao
Mganga ni mfanyabiashara ula kotekote penye dauUmenikumbusha kibonzo cha jamaa aliyeibiwa pikipiki ya bosi wake akaenda kwa mganga.
Mganga akamwambia wezi walioiba wapo vizuri hatutawaweza sasa unaonaje tukimloga bosi wako akasahau kuwa alikupa pikipiki?
Ikabidi iwe hivyo.
Mganga na mwizi ushirikina kufanya uhalifu.Mganga umpa mwizi dawa asikamatwe mwizi akishauza upeleka parcent kwa mganga.Mwachie Mungu, jipange kivingine.....mambo ya waganga unajitafutia matatizo makubwa zaidi.
Hakuna milango?Wasaalm wanabodi
Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana.
Niko Morogoro mjini.
Mnakaribishwa PM
PichaView attachment 1994657
Tenda wema nenda zako,usingojee shukrani.Mkipewa connection hamleti mrejesho!!
Saiz sina ham ya kumpa mtu msaada
Kabisa.Tenda wema nenda zako,usingojee shukrani.
Inawezekana lakini huna uhakika as long as hakuna ulinzi....!Mwizi ni fundi wako
KabisaWahuni sio watu