1234 hahahahaaaaaaa naijuahioiooUongo!!
Asilimia 99 ya unakopeleka sadaka ni wezi wanaotumia jina la YESU!SIJUTISHI JIFUBZE KUFANYA HAYA KTK MAISHA
TOA SADAKA
TOA ZAKA.
TOA SHUKRAN
USIPTEKELEZA MUNGU ANAPITA NA UKICHONACHO KWA GAHARAMA ZOZOTE..M NILIKUWA MGUMU SANA KUTOA SHUKRAN KANSAN BAADAE E N MM NIKAAMUA KUTOA
ILA KABKA YAHAPONNIKIPATA HELA ASBH JION SIJUI INAISHAJE
Mkuu nilisha shuhudia kitu kama hicho nahisi last year, ili ingia pesa ya posho yetu ktk namba yake ya Tigo akanipa password lakini akasema hana uwakika, kufika Kwa wa kala nikitaka kutoa pesa inakataa, basi ikanipa option ya kubadili password, nika change chap nikaweka yangu mpya na nikatoa pesa na nika mwambie mwenyeweNi Rahisi sana mtu akiweza kupata NIDA yako. Tigo wana huduma ya Kuweka Upya PIN kwa kutumia NIDA namba ambayo maswali yake wakala wao wa usajili anaweza kujibu na kufyatua Password yako Fasta. Nashauri TIGO waondoe hiyo huduma.
Asante sana.Kweli kabisaa na makosa makubwa tunayoyafanya ni kusevu nida zetu kwenye contacts, kwaiyo ni rahisi kabisaaa mtu anapita na pesa kama yake
I promise nitakuwa nao SAKO KWA BAKO pesa yangu irudi. Nimewapigia wanajiumauma tu!!Tigo wana makosa.
Wafute mianya ya mwizi kupata access ya namba ya siri.
Kuna mdau hapo katoa mbinu rahisi tu ya kudukua hiyo namba ya siri tena ukisaidiea kwa 100% na hoahao tigo.
Nenda ofisini kwao kabisa, ukipiga simu wanapokea watu ambao washamezeshwa nini cha kukujibu na sio kukutatulia hilo zigo kubwa namna hiyo.I promise nitakuwa nao SAKO KWA BAKO pesa yangu irudi. Nimewapigia wanajiumauma tu!!
Hapa naomba kupishana na wewe kidogo, kwenye hili swala la wizi wa pesa kwenye simu ni kitendo kinachofanyika kwa haraka sana, mara tu mwizi anapoiba simu cha kwanza huwa anatafuta namna ya kuingia kwenye miamala, ambapo mara nyingi huwa wanafanikiwa. Tuseme kwa mfano mtu alikuwa kwenye chombo cha usafiri, ameibiwa humo simu yake na amekuja kugundua mara baada ya kushuka, tuseme ameibiwa dk.30 zilizopita, au kwa namna nyingine ameibiwa bila hata kujua na anapokuja kugundua ni mud mrefu umeshapita, unasemaje huo ni uzembe.Mzembe mkubwa ni wewe.
Kwa nini hukuchukua hatua za haraka za kufunga hiyo line? Wewe ulimpa mwizi muda wa kutosha kukuibia.
Ukipoteza line ama kadi ya benki piga simu kwenye benki ama mtandao wako haraka wafunge hiyo line ama kadi uwe salama.
Hapa sio mwizi wala tigo wenye makosa.
Tigo ndo wezi hatariiiii.Pole sana ila mbona tigo kwenye swala la ulinzi wa pesa wapo vizuri matatizo yapo Kwa Vodacom na airtel
Voda, halotel, airtel, hawa wanazo PIN.Laini za Tigo hazina pini, Halotel pekee ndo wameweza kueeka pin kwenye Laini hata voda wameshindwa.
Ahsanteee kwa somo!! [emoji120][emoji120][emoji120]Hiyo mbona rahisi sana Cha kwanza anatoa line kama simu yako Ina password,anajipigia ,
Akishapata namba yako anaenda Kwa wakala wale wasajiri Laini anajifanya amesahau namba NIDA yake ,wale akiwapa namba yako tu wakicheki kwenye vile vifamoko vyao NIDA yako hiyo chap inakuja na majina yako yote matatu,
Baadae ya hapo anapigia tu Customer care na kuwaambia amesahau password yake ,wao wanachoomba ni namba za NIDA ,majina matatu na mwaka wa kuzaliwa ambao ni tayari upo Kwa namba ya NIDA yako ,
Baadae ya hapo anabadilishiwa password ye anaenda kutoa pesa yako Kwa Raha mustareheee.
Hiyo process yote kwa mwizi mzoefu haizidi ata Nusu saa .
Nb
Ukipotelewa na simu pigia customer care mapema wablock line yako kuepuka mambo kama hizi.
Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Kiukweli katika vitu sina imani navyo ni kuweka pesa nyingi kwenye mitandao ya simu. Hata Bank account ninayotunza fedha nyingi sitaki kabisa kusikia habari za Simbanking...loopholes za kupigwa ni nyingi mnoNi Rahisi sana mtu akiweza kupata NIDA yako. Tigo wana huduma ya Kuweka Upya PIN kwa kutumia NIDA namba ambayo maswali yake wakala wao wa usajili anaweza kujibu na kufyatua Password yako Fasta. Nashauri TIGO waondoe hiyo huduma.
Voda wacenge sana, nashangaa sijui kwanini serikali isiweke policy kwa watoa huduma kwamba ni lazima wawe na hotline ili kusikiliza matatizo ya wateja.Sasa Kwa customers care kama ya Vodacom si ndio balaa zaidi
Mpaka uwapate na wapokee simu yako mwizi ashatoa kila kitu
Voda wanataka uende whatsapp au facebook. Kule unakutana na Robot anakujibu alivyomezeshwa sio unavyotaka wewe. Anakupa milolongo tu.Yaani Voda ni balaa hawapokei simu rafikiyngu aliibiwa simu kuwapigia aisee Zaid ya masaa 3
Pesa watakwambia ulizitoa wewe😂 utawafanyaje?!Nimewapigia Tigo makao makuu nimewaambia pesa nimeweka kwao. Usalama wa pesa zangu uko mikononi mwao. Ninachotaka ni pesa zangu zirudi siyo kuniambia nikaripoti polisi. Mimi sikuweka pesa polisi. Wao kama banker wawajibike
Acha ujuaji mimi naweza pia kutoa pesa kwenye line yako ukinikabidhi sasa hivi. Tena tigo ni kama kumsukuma mlevi
Sasa hapo ujuaji ni upi mzee tattz ubishi ndo umekujaa sasa mtu usitoe elimu kwa wengine kusema ujuajiAcha ujuaji mimi naweza pia kutoa pesa kwenye line yako ukinikabidhi sasa hivi. Tena tigo ni kama kumsukuma mlevi
Nilienda wakaniambia niripoti polisiNenda ofisini kwao kabisa, ukipiga simu wanapokea watu ambao washamezeshwa nini cha kukujibu na sio kukutatulia hilo zigo kubwa namna hiyo.
Umenena vema. Yaani pesa nimeweka kwao sasa zimeibiwa wao hawana msaada wananiambia nikaripoti polisi. Huko polisi nilishaibiwa simu mara tati nikaripoti hakuna kitu kilipatikana!Hapa naomba kupishana na wewe kidogo, kwenye hili swala la wizi wa pesa kwenye simu ni kitendo kinachofanyika kwa haraka sana, mara tu mwizi anapoiba simu cha kwanza huwa anatafuta namna ya kuingia kwenye miamala, ambapo mara nyingi huwa wanafanikiwa. Tuseme kwa mfano mtu alikuwa kwenye chombo cha usafiri, ameibiwa humo simu yake na amekuja kugundua mara baada ya kushuka, tuseme ameibiwa dk.30 zilizopita, au kwa namna nyingine ameibiwa bila hata kujua na anapokuja kugundua ni mud mrefu umeshapita, unasemaje huo ni uzembe.
Ila mimi ninachoamini ni kwamba haya makampuni ya simu yana ushirikiano mdogo sana na wateja wao, wengi wemeumizwa na negligence za haya makampuni mara mtu anapohitaji msaada wa haraka, hasa kwenye masuala haya ya wizi.