- Thread starter
- #201
Tigo wanawajibika kwa hiliWezi wavsimu wanashirikiana na watu wa mitandaoni. MTU wa mtandaoni hu reset pin yako ya mpesa na kumpa access mwizi atengeneze pin aitakayo na
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tigo wanawajibika kwa hiliWezi wavsimu wanashirikiana na watu wa mitandaoni. MTU wa mtandaoni hu reset pin yako ya mpesa na kumpa access mwizi atengeneze pin aitakayo na
Yaani Voda ni balaa hawapokei simu rafikiyngu aliibiwa simu kuwapigia aisee Zaid ya masaa 3Sasa Kwa customers care kama ya Vodacom si ndio balaa zaidi
Mpaka uwapate na wapokee simu yako mwizi ashatoa kila kitu
Niligundua sina simu baada ya muda kama saa mojaYes unakuta aliweka namba au kupiga picha kitambulisho cha NIDA akaweka kwenye simu. Mwizi akipata taarifa zako ni rahisi akiingia kwenye MENU ya Tigo pesa kule kwenye kubadili password watamuuliza aweke namba ya NIDA akiweka hiyo wanaifyatua.
Nb; alipoibiwa pale pale angetafuta mtu baki mwenye tigo wapige simu huduma kwa wateja Waifunge laini.
Anahusikaje? Tena yuko safarini!Umemuuliza unayeishi naye?Kuwa mjanja.
Akili unazo asilimia 100.Ukizitumia asilimia 7 tu utapata jibu.Anahusikaje? Tena yuko safarini!
Mke wangu hana password yangu ya kitu chochoteAkili unazo asilimia 100.Ukizitumia asilimia 7 tu utapata jibu.
Unawajua vizuri wanawake wewe?Kua ujue!Mke wangu hana password yangu ya kitu chochote
Kuna wabongo wanakwambia mimi ni mwaminifu siwezi kuweka ma PIN na password kila mahali.Yaan akili zao zinawaza hapa karibu tu hawajui kua simu yako inaweza kutumika vibaya ikiangukia kwa muhalifu.Kuna shemej yangu alikwapuliwa simu,simu ilikua nyeupe haina kipengele chochote cha usalama.lijamaa lilifanya kama yake lilikua linajibu hadi meseji za watu.linaingia kwenye magroup ya whatsap linachat ujinga na matusi alafu linaleft.lilifanya ujinga alafu likapotea jumla.sasa lingefanya uhalifu mkubwa ingekua kimbembe.Kuna baadhi ya nchi ni Kosa kisheria kutokuweka Number za siri kwenye simu yako na Simcard..kabla ya kulaumu tigo,why laini yako haina PIN??usalama unaanza na wewe...tofauti na kuibiwa ipo siku laini yako itatumika vibaya.
Uezekano mkubwaHujasema ukweli wewe,
nina uhakika uli save password kwenye line yako
Wezi ni watu wa trial and error
Never!Uezekano mkubwa
Swali kwako unarenew vipi laini bila dole gumbaAmerenew line yako akaeka namba za siri upya mana mawakala wa mtaani wana process ya ukimtajia namba anakupatia nida yako
Sasa tigo watawajibika. Pesa nimeweka kwao sasa zimeibiwa wananiambia niende kuripoti polisi. Usalama wa pesa zangu ulikuwa mikononi mwa nani?? Huko polisi nilishapeleka loss report tatu hakuna hata moja ilipatikana!!Amerenew line yako akaeka namba za siri upya mana mawakala wa mtaani wana process ya ukimtajia namba anakupatia nida yako
Swali kwako unarenew vipi laini bila dole gumba
Sasa hili swali wajibu Tigo.Swali kwako unarenew vipi laini bila dole gumba
Wakala Hana access ya kurudisha line Bila dole gumbaAmerenew line yako akaeka namba za siri upya mana mawakala wa mtaani wana process ya ukimtajia namba anakupatia nida yako
Pole sanaNimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Password yangu hata ungejaribu mara Mia huipati!Watanzania Wana tabia ya kuweka simple password
Anaweka mwaka wa kuzaliwa au anaweka no rahisi mf 1000 au 2000
Mwizi hapati shida
Uongo!!Wakala Hana access ya kurudisha line Bila dole gumba
Huyu aliweka password ya tigopesa rahisi mwizi akajaribu mara mbili tu akaipatia akatoa mzigo
Nimewapigia Tigo makao makuu nimewaambia pesa nimeweka kwao. Usalama wa pesa zangu uko mikononi mwao. Ninachotaka ni pesa zangu zirudi siyo kuniambia nikaripoti polisi. Mimi sikuweka pesa polisi. Wao kama banker wawajibikePole sana