Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

Pesa watakwambia ulizitoa wewe😂 utawafanyaje?!

Kwani hizi huduma zingine sijui hadithi, miito si wanatuveshaga tu. Ukianza kuona wanakukata kata hela bila sababu unawapigia kuuliza wanakwambia tunaona ulijiunga na huduma ya voice ringtone 😂
Basi itakuwa ndio mwisho kutumia huduma zao maana usalama hakuna
 
Kwa kweli kwa hili Tigo wamenikwaza mno. Kama security yao iko vulnerable kiasi hiki nitarudi tu kwenye traditional banking
 
Back
Top Bottom