R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Oct 6, 2024 Thread starter #241 Extrovert said: Pesa watakwambia ulizitoa wewe😂 utawafanyaje?! Kwani hizi huduma zingine sijui hadithi, miito si wanatuveshaga tu. Ukianza kuona wanakukata kata hela bila sababu unawapigia kuuliza wanakwambia tunaona ulijiunga na huduma ya voice ringtone 😂 Click to expand... Basi itakuwa ndio mwisho kutumia huduma zao maana usalama hakuna
Extrovert said: Pesa watakwambia ulizitoa wewe😂 utawafanyaje?! Kwani hizi huduma zingine sijui hadithi, miito si wanatuveshaga tu. Ukianza kuona wanakukata kata hela bila sababu unawapigia kuuliza wanakwambia tunaona ulijiunga na huduma ya voice ringtone 😂 Click to expand... Basi itakuwa ndio mwisho kutumia huduma zao maana usalama hakuna
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Oct 6, 2024 Thread starter #242 Kwa kweli kwa hili Tigo wamenikwaza mno. Kama security yao iko vulnerable kiasi hiki nitarudi tu kwenye traditional banking
Kwa kweli kwa hili Tigo wamenikwaza mno. Kama security yao iko vulnerable kiasi hiki nitarudi tu kwenye traditional banking