Nimeibiwa takribani laki 5 na Binti wa duka langu jipya ndani ya miezi miwili. Nichukue uamuzi gani?

Huyu jamaa ana huruma kama Mimi kabisaa.... nimefunga biashara nyingi Kwa huruma kama hizo
 
WEWE ni SKY SOUJA maliza ki SOUJA....
 
Mkuu tuambie kidogo kuhusu Wahindi ukiwaibia....

N.B
Unahisi mtu akipata mtaji wa biashara Kwa njia haramu hawezi fanikiwaa eeee🀠🀠

Fafanuaa kidogo nshomile ya muleba
 
UKITAFUTA MWINGINE UKAMUWEKA HAPO HATA KAMA NI NDUGU ATAKUIBIAA TU...!! either ukae wew au akae mkeo lasivyoo biashara bila kusimamia kwa karibu Andaa maumivuu utakuwa unatoa hela kwenye mshahara unaiweka dukani inaliwaaa hasa biashara ya duka ni hatari maana huwezi kufanya stock kila siku kama una mzigo mkubwa.
 
sky soldier
Nisikilize kama una sikio ls kiume.
Huyo binti usimzuru chochote.

1. Watu wazuri hutengenezwa
2. Mpe nafasi nyingine tena kwa masharti kuwa umkate mshahara 40k kila mwezi.
3. Mpe utaratibu mpya wa rekodi na ulio wazi zaidi.
4. Huenda alijikopesha au hayuko makini katika kurudisha chenji au vinginevyo...lakini sasa amegundua uko makini naye atamakinika hutaamini.

5. Wanadamu wotr huwa tunakosea
TAFADHALI MPE NAFASI NYINGINE
 
Kama yuko tayari, usimwambie Mama yake kama alivyoomba, aendelee kufanya kazi kwa ufuatiliaji wa karibu, mlipe nusu mshahara mpaka deni lilipwe.
Dada akirii kosaa...alipishwe deni nadhani kiasi flani atajifunzaa hata speed ya kuiba atapunguzaa ila ukisema ulete mwingine mzee utaanza upya kuibiwaa sasa bora mwizi uliewahi kumshika inakuwa rahisi kumcontrol ila mpyaaa oohoo utapigwa zaidi. Kingine hao ndugu usiwaamini sana ukute ndo wanampangaa akupige dunia hii acha tu.
 
Nimepata wazo kwamba afanye kazi miezi minne hapa kila siku awe anachukua elf 2 tu hakuna mshahara.

Mnaweza kunipa mawazo mbadala ama ya ziada wakuu niweze kudeal nae vizuri.
 
kumbee ameleta mrejesho wa UPUUZI TULIOMKATAZAA KWA NGUVU ZOTE πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ binti kafanya jambo jemaa sanaa abarikiwee tena kaiba pafupi mnooo ilibdi apige MILION PLUS
 
Shikilia hapohapo mkuu na si vinginevo
 
Mfumo wako wa stock counting na mauzo ya siku sio poa, unaweza funga mfumo wa computer, kila anachouza anajaza kwenye dairy page ktk computer, akifunga duka jioni ww unapata taarifa hata kwenye simu yako, nn ameuza, nini kimebaki dukani, cash tsh ngani, amekopesha nini na thamani yake, hapa haibi, na akiamua kuiba anajiyia hatia coz atatoa bidhaa dukani bila kuirecord..
Mfumo huu unaweza kuufanya hata ktk daftari tuu.,
 
Naona sasa unataka alimalize kabisa hilo duka lko

Endelea kumuweka kwa kudhani kua unamkomoa kumbe unajizamisha mwenyewe kwenye kina kikubwa cha pacific ocean hlf huwezi kuongelea

Mwenye Akili hang'atwi na Nyoka mara mbili
 
Mkuu tuambie kidogo kuhusu Wahindi ukiwaibia....

N.B
Unahisi mtu akipata mtaji wa biashara Kwa njia haramu hawezi fanikiwaa eeee[emoji1783][emoji1783]

Fafanuaa kidogo nshomile ya muleba

Wahindi ukiwaibiaa lazima uwekwe ndani na ndugu zako wachangie ile hela ya loss ndo utoke.

Labda akusamehe.


Hela za haramu hazina uchungu, iwe kaaiiba madili utapeli na kadhalika.

ndo mana anaibiwa laki 5 anachekacheka na kuomba ushauri.

Mimi nimesota sana na maisha afu mtu aniibia kweny biashara aiseee, Aroooo
Sitaki ujinga weka ndani au Fukuza kabisa siku hiyohiyo

HALAFU MTOA MADA NI ZUZU YANI UNAKUTA SHOTI 147,000 ETU ANASUBIRI AIIBIWE MILLION 1 AJE ALALAMIKE



KUNA WATU WA HOVYOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…