Nimeibiwa takribani laki 5 na Binti wa duka langu jipya ndani ya miezi miwili. Nichukue uamuzi gani?

Awe bi mdogo.
 
Ukiww na moyo wa huruma utafilisika tu.

Biashara zinataka makatili.

La sivyo utaiua biashara.

This time utapigwa tukio Moja takatifu utajua hujui
 
Nilivyoona unadai hata Rikiboy amekushauri cha kumfanya huyu binti Moja kwa Moja nikajua amekushauri Umle kimasira aisee kumbe mimi huwa nakariri vibaya, aisee mkuu huyu Rikiboy amekushauri vibaya INATAKIWA HUYO BINTI ALIWE KIMASIHARA NA HELA ARUDISHE
 
Anapata wapi ujasiri wa kukuibia au ulikuwa unajipigia nini mkuu


Nimekumbuka dada wa kiosk changu alikimbia na kijana mtaani aliondoka na pesa za mauzo
 
Kuna ulazima gani wa kusema duka lako jipya.
 
Yaani umeibiwa bado unaandika maelezo marefu hivi?
 
Nataka ni invest duka pia suala lililonifikilisha ni muuzaji,mawazo mengi nmepata kupitia uzi huu aisee solution apambane wife tu, next month natarajia kuziona challenges za hii kitu
 
1)Arejeshe pesa hiyo kwakukatwa mshahara

2)kipindi hicho Cha rejesho endelea kumpima afya (HIV /aids),Kila miezi mitatu kwasababu hiyo 500000 atarejesha Kwa miezi 10 ,kwenye ukimwi hapo upo ndani ya muda

3) Akimaliza rejesho ,andaa kipindi mgegedo ,ukigegeda maratatu Kwa uhakika

Sasa,unamtisha nenda kwenu Mimi hapa hutakiwi ,nakosa Imani na wewe kwenye biashara zangu

Muhimu
Usithubutu kutamka au kuchati kuhusu kumgegeda kwanjia ya simu, hakikisha mdomo ndo unatumika mwanzo mwisho
 
Kwa mshahara wa sh 6000 per day ni haki yako kuibiwa...Tanzania tulitakiwa tuwe na mfumo wa kulipana kwa masaa ambayo mtu amefanya kazi...kiwango cha chini kingekuwa sh 2000 kwa saa
Kama zinaingia za kutosha kulipana hivyo.
 
Dah mi ndo huwa siongei Mara mbili

Uzuri nabahatika kufanya Kazi na watu majeure

Ila mi mwenyewe ni Mara 10 yao,
Wa mwisho nimemtimua alinitia short ya 500,000

Ananipigia simu nimrushie mshahara wake 300k nikamwambia nilipe 500k nikulipe mshahara wako

Kwa nini unafikiria utakae mpata atakua Mwizi zaidi?

Jitahidi usitabirike, Yaani muda wowote unaamkia stock yako, mapato na matumizi
Atakua na hofu.
 

Wahindi [emoji119]

Mpaka umwibie umetumia akili sana
 
Mtoee weka mwingine tafuta mchaga hutojutia unaibiwa ila faida unaiona make sure unamtoa kijijini fresh awe anajieleewa. Ummri. Miiaka 18__23

Nilifuata huu ushauri ila hamna kitu..
 
Fanya hivi .mpeleke polisi wape laki wambie asitoke hadibndugu zake wakurudishie la 500 yako laki ya polisi kumsweka na wawe na laki ya polisi kumtoa .hata anaekuja ataulizia si duka hilibtu bali maduka yote na huo mji mzima hapo tandahimba wataambiana huyu sio wa kuibia .kukuibia huwa ni hulka
 
Umeandika nini, sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…