Nimeibiwa vitu vyote vya ndani

Pole Sana wezi siyo watu wazuri hata Mimi naskia kinaweza kuwa tracked nahisi ukienda kwa provider. Jitahidi upange sehemu yenye kueleweks mkuu
 
Moshi nako kuna hio michezo?
Moshi sio tukio la ajabu wanaiba sana. Iwe biashara iwe nyumbani kuna mwingine pia aliibiwa kwenye biashara yake. Yaani hawa jamaa bana.
 

Mkuu uko wapi nikupe direction mahali.Unaamua tu wewe tu kupiga wezi Mpaka wanunuaji au wezi tupu.Pili wanakurudishia kila kitu.
 
Moshi sasa hivi kuna wizi wa hali ya juu, kila siku watu wanalia kuibiwa. Alafu cha ajabu hamna hatua zozote zinazochukuliwa na jeshi la polisi. Nakumbuka kuna mzee aliwahi kunielezea visa na mikasa ya yaliyopo nyuma ya hili jeshi nikachoka, sasa nikiunganisha na haya matukio nazidi kupata mwanga zaidi.
 
Mkuu uko wapi nikupe direction mahali.Unaamua tu wewe tu kupiga wezi Mpaka wanunuaji au wezi tupu.Pili wanakurudishia kila kitu.
Weka hapa hapa hicho kipigo kila mtu afaidike
 
Pole sana Mkuu

Piga maombi Mungu atazungumza nao tuu... au kama vipi tafuta mtaalamu haswa awaguse kidogo tuu yatembee barabarani yakijikojolea.

Au yakilala yakose usingizi kazi iwe ni kujikuna hadi asubuhi.
Fake advice. Mungu alitupa akili za kutatua matatizo. Na kuhusu ''mtaaalam'' ni kupoteza fedha tu. Imani potofu.
 
Moshi kuna sehemu si rafiki sana kwa kuishi hasa maeneo haya:
-Pasua
-Njoro
-Kalimani
-Chekereni
-Mabogini
-Majengo kwa mtei

Ukiishi maeneo hayo tegemea wakush kuja kufanya shopping hapo getto anytime .
 
Mkuu uko wapi nikupe direction mahali.Unaamua tu wewe tu kupiga wezi Mpaka wanunuaji au wezi tupu.Pili wanakurudishia kila kitu.
Unataka kuiba fedha wewe! Huna lolote. Nyie ni mtandao wa matapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…