Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wana jamvi,
Naandika nikiwa na jazba na hawa watu wanaoitwa wezi. Nimepanga geto langu nikajibana nikaeka vitu vyote vya ndani sasa hawa jamaa wamenilia time nimetoka wamenisafisha hadi kijiko ila kwenye vitu walivoiba wamebeba hadi king'amuzi.
Ila kuna mdau aliyeniambia king'amuzi kinatafutika kama ilivyo kwa simu.
Msaada jamani kwa mwenye ujuzi maana nikimpata mwenye king'amuzi ndio nitamtolea uvivu.
Nawasilisha
Abarikie mara dufu,... kaongea vyema sana mkuuMkuu umeongea kwa hekima na busara sana,ubarikiwe sana
Hahahaaa we fala kweliKimsingi umeenda kwenye mishe mishe zako umerudi Umekuta Geto halipoo..[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Aseme tu hivyoo inatoshaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sem pole sana mkuu hao majirani zakoo wanaonaga ukiingiza mademu tuu ilaa Kuibiwaa geto zima hawajaona. Mwizi wako hayupoo mbalii tena hata hatua kumi ni nyingii.Hahahaaa we fala kweli
Ila uwezo pia.Pole sana mkuu,mda mwingine usipange tena kwa mpalange
Wenyewe wanasema "kikulacho ki nguoni mwako".Aseme tu hivyoo inatoshaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sem pole sana mkuu hao majirani zakoo wanaonaga ukiingiza mademu tuu ilaa Kuibiwaa geto zima hawajaona. Mwizi wako hayupoo mbalii tena hata hatua kumi ni nyingii.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Mshauri afanye moja kama ni kumwachia Mungu atende,iwe hivyo,ila kuchanganya na mwanadamu ni kupungukiwa imaniPole sana Mkuu
Piga maombi Mungu atazungumza nao tuu... au kama vipi tafuta mtaalamu haswa awaguse kidogo tuu yatembee barabarani yakijikojolea.
Au yakilala yakose usingizi kazi iwe ni kujikuna hadi asubuhi.
Mshkaji wangu aliiibiwa PC na mtungi wa gas wale majirani wakakana kabisaa yani kuwa hawajauona mwizi...!! Baada kama ya siku mbili akampa mdada flani 10K amwambiw mwizi wake yule dada akagoma ila baadae akamfata jamaa maana njaa kali sana mzee...akamwambia aliemuibia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli wakaenda mpaka alipoviuza.Wenyewe wanasema "kikulacho ki nguoni mwako".
Inawezekana kabisa wezi hawatoki mbali mkuu.
Pole mkuu hawa watu wanatia hasira asikuambie mtu, wamekuibia moshi sehemu gani mkuuHabari wana jamvi,
Naandika nikiwa na jazba na hawa watu wanaoitwa wezi. Nimepanga geto langu nikajibana nikaeka vitu vyote vya ndani sasa hawa jamaa wamenilia time nimetoka wamenisafisha hadi kijiko ila kwenye vitu walivoiba wamebeba hadi king'amuzi.
Ila kuna mdau aliyeniambia king'amuzi kinatafutika kama ilivyo kwa simu.
Msaada jamani kwa mwenye ujuzi maana nikimpata mwenye king'amuzi ndio nitamtolea uvivu.
Nawasilisha
Hahhaha sawaIla uwezo pia.
Duh! Noma sanaMshkaji wangu aliiibiwa PC na mtungi wa gas wale majirani wakakana kabisaa yani kuwa hawajauona mwizi...!! Baada kama ya siku mbili akampa mdada flani 10K amwambiw mwizi wake yule dada akagoma ila baadae akamfata jamaa maana njaa kali sana mzee...akamwambia aliemuibia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli wakaenda mpaka alipoviuza.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Sidhani kama ni mtihani kutoka kwa Mungu! Mungu hatungi mtihani kwa kutumia wezi! Ni wezi tu wa kawaida.Mkuu umeongea kwa hekima na busara sana,ubarikiwe sana
moshi sehemu gani mkuu, njoro aumoshi