DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Karibu weekendafadhali isidingo kwa kweli
tuangalie marudio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu weekendafadhali isidingo kwa kweli
Hahaa, halafu kingine eti yule kiongozi wao yupo kama Mungu au zaidi, yaani anatabiri matukio tofauti tofauti yatakavyokuwa na yanakuwa hivyo kweli kwa asilimia 100Mkuu Lacasa dë papel nnayo nimeishia kwenye kipande cha kumi kama sikosei. Ilisifiwa mno na watu kibao. Nikajua watunzi walitumia akili kumbe ujinga mtupu. Tokea mwanzo tu walivovamia benki sijui bullion limekaa kama museum. Haliko secure na eti kuna mlango mmoja tu. Wale jamaa sijui walikula nini siku zote na prof alikuwa daredevil sana kitu ambacho hakina uhalisia. Ilinishinda
Hiyo inaitwa being one step ahead. Ni kawaida kwa mtu aliyepania kufanya jambo. Kumbuka walikaa kambi miezi 6 kabla ya tukio lenyewe. Hata hivyo kuna sehemu nao walikuwa wanakwama unless umeiangalia in negative way kuhusu hyo seriesmtu anatabiri polisi waafanya hivi, kisha wanafanya kweli, kila tukio, haina uhalisia. kingine wale wezi alikuwa akiwapa bahati zote ziwaangukie huku polisi gundu ziwe upande wao. Very predictable and very boring, boring,boring
Achana na ya itv. Angalia ya kule south youtube kila siku baada ya saa 1 na nusu wanapost. Itv mara waweke programs zingine yaani kero tupu😂😂Karibu weekend
tuangalie marudio
Mimi huwa naangalia marudio mkuuAchana na ya itv. Angalia ya kule south youtube kila siku baada ya saa 1 na nusu wanapost. Itv mara waweke programs zingine yaani kero tupu[emoji23][emoji23]
Nimeona kwenye matangazo mengi hii serires ikipewa promo kubwa sana, hadi watu wengi wanaweka zile mask za wale robbers kwenye dp zao.
Nikaona niitafute bana. Dah Money Heist ni series ya hovyo, haipo level moja kabisa ya kuitwa series kali na inaboa kuitazama.
Nimejaribu kuitazama kwa kujilazimisha hadi nikafikia episode ya 9 naona imenishinda kabisa.
Japo story yao imetungwa kwa kufanana kidogo na Prison Break, hii imekosa msisimko kwani imebase upande mmoja, yaani mtungaji wa story kamfanya yule kiongozi wa robbers (Professor) kuwa ana akili sana na polisi akawafanya ni wajinga sana, mpango wa Profesa unafanikiwa na kila mpango wa polisi unafeli kiasi kwamba haijabalance hata kidogo.
Eti Profesa anatabiri polisi watafanya hivi kisha wanafanya, watafanya vile kisha wanafanya, watafanya vile tena wanafanya pia, yaani ndio mtiririko ulivyo.
99% ya mipango anayopanga Profesosor inafanikiwa huku mipango karibia yote ya polisi dhidi yao inafeli, yaani haina msisimko kama mechi ya Taifa Stars na Ujerumani.
Prison Break ilikuwa na msisimko sana sababu Michael mipango yake ilikuwa haiendi kama alivyokuwa amepanga na hivyo kuleta msisimko kwa mtazamaji kuwa jamaa atafanyaje au atakamatwa ama vipi.
Mbwa ni wewe Series zinazopendwa duniani, ambazo critics wa series wanazipa rating kubwa nazijua sio hii trashMbwa mmoja hivi yupo Mbagala anapondea series inayokubalika na watu wa duniani
Mi nimeishia episode ya 9, labda huko mbele ilikuwa na uhalisia kidogo sijui ila sikuweza kuitazama maana inachoshaHiyo inaitwa being one step ahead. Ni kawaida kwa mtu aliyepania kufanya jambo. Kumbuka walikaa kambi miezi 6 kabla ya tukio lenyewe. Hata hivyo kuna sehemu nao walikuwa wanakwama unless umeiangalia in negative way kuhusu hyo series
Wew ile serious inaitaji extra ordinary kuiyelewa binafsi nimeiyangalia mwez wa pili but I think it's my best scientific movies,Nimeona kwenye matangazo mengi hii serires ikipewa promo kubwa sana, hadi watu wengi wanaweka zile mask za wale robbers kwenye dp zao.
Nikaona niitafute bana. Dah Money Heist ni series ya hovyo, haipo level moja kabisa ya kuitwa series kali na inaboa kuitazama.
Nimejaribu kuitazama kwa kujilazimisha hadi nikafikia episode ya 9 naona imenishinda kabisa.
Japo story yao imetungwa kwa kufanana kidogo na Prison Break, hii imekosa msisimko kwani imebase upande mmoja, yaani mtungaji wa story kamfanya yule kiongozi wa robbers (Professor) kuwa ana akili sana na polisi akawafanya ni wajinga sana, mpango wa Profesa unafanikiwa na kila mpango wa polisi unafeli kiasi kwamba haijabalance hata kidogo.
Eti Profesa anatabiri polisi watafanya hivi kisha wanafanya, watafanya vile kisha wanafanya, watafanya vile tena wanafanya pia, yaani ndio mtiririko ulivyo.
99% ya mipango anayopanga Profesosor inafanikiwa huku mipango karibia yote ya polisi dhidi yao inafeli, yaani haina msisimko kama mechi ya Taifa Stars na Ujerumani.
Prison Break ilikuwa na msisimko sana sababu Michael mipango yake ilikuwa haiendi kama alivyokuwa amepanga na hivyo kuleta msisimko kwa mtazamaji kuwa jamaa atafanyaje au atakamatwa ama vipi.
Mkuu ungeiangalia angalau mpaka season 3 ndo uje useme. Maana nao hawakufanikiwa 100% kama unavyosema. Kuna watu walikufa na kulikuwa na vikwazo piaMi nimeishia episode ya 9, labda huko mbele ilikuwa na uhalisia kidogo sijui ila sikuweza kuitazama maana inachosha
hata mtu akipanga kwa miezi 6, huwezi ku predict human behavior na ukawa accurate almost 100% vile sio realistic, nimetolea mfano wa series kama prison break ambayo kisa chake kinafanana na hicho, ambacho pamoja na planning zote za akili lakini haikwenda sawa na michael alivyopanga, na hii ndio inaleta msisimko kwa kuwa inampa tension mtazamaji wa kuona kipi atafanya next
sio mtu anafanikiwa 99% planning zake na hiyo 1% isipofanikiwa anairekebisha haraka kwa namna ya kibahati bahati tu na bahati inakuwa upande wake mara zote
Nilikuwa nafanya hivyo pia lakin ikawa inatokea sometimes kwenye marudio unaona samahan hatutakuwa na isidingo leo! Imagine unakuwa na gep la week nzima hujaangalia!!Mimi huwa naangalia marudio mkuu
Ukiweza angalia jumamosi usikuNilikuwa nafanya hivyo pia lakin ikawa inatokea sometimes kwenye marudio unaona samahan hatutakuwa na isidingo leo! Imagine unakuwa na gep la week nzima hujaangalia!!
Check na hizi Black Sails na Walking Dead,Baada ya Into the Badlands na Game of Thrones sijaona series nyingine tena ya kunishawishi kukaa kitako na kuifuatilia.
Unforgetable
Afadhali na wewe umeona, very unrealistic, halafu jambazi lina uwezo kama Mungu, lina uwezo wa kuona matukio ya mbele yatakavyokuwa na yanakuwa hivyo kweli kwa 100%Money heist ni series ya kitoto sana!
Yaani jambazi lina-negotiate na polisi kwa siku kumi!!!!
Hahaa, hadi season 3? Season moja inatosha kui judge seriesMkuu ungeiangalia angalau mpaka season 3 ndo uje useme. Maana nao hawakufanikiwa 100% kama unavyosema. Kuna watu walikufa na kulikuwa na vikwazo pia