Money Heist kwanza imegawanyika sehem 3 kama una jicho na utambuzi wa kuelewa series vzr hili haliwez kukupa shida...
prison break imegawanyika sehem mbili kuu pia hili kuona kwa jicho kawaida unaweza usione. Ukawa umejikita tu Michael atafanya nn au mbinu zote zitafanikiwa au lah..
Kila series ina uzuri wake na udhaifu wake japo zina maudhui yanayoendana kias ila lengo tofauti..
Money Heist.
Imeegemea zaid kupora hela benk,na kutimiza ndoto za baba yake Profesa,pamoja na akili ya profesa lakin alikua anajua ugum wa kaz yenyewe,waporaj wanatumia nicknames hata wao wenyewe hawajuan majina,kwanza hyo ni akili pili imeonyesha nguvu ya Love,jinsi mapenz yanaweza badili kila kitu na ukafanya jambo ambalo lipo kinyume na matarajio. Kwa nn unaona profesa alichokua anahis kinatokea,ni sbu alijifunza saikolojia ya polis na kulifanyia kaz,na ndio maaana aliwafundsha cha kufanya kila kinapoenda tofauti na walichopanga. Ndo maana marehem Tokyo alipokwama nje akili ilimjia ni kule ndan pekee kwenye usalama wake tofaut na hapo ni bure.. Na bahat mbaya usidhhan huu mpango Profesa alikua mwenyewe lah hasha..aliupanga na watu ndo maana uliwaona baadae.
Labda uniambia udhaifu wa kutokula japo hawakwenda kupora na kula,itakua haina maana. kutetemeka yaan alishindwa kutulia kimwili anapoona jambo ambalo linaenda tofauti..
Alifanikiwa mipango yte kwa asilimia 95+ sbu aliwazid polis hatua moja mbele na hiki kinawezekana tu..ila alifanikiwa sana.
Prison break.
Imebeba ujumbe wa upendo... Michael alikua tayr kufanya lolote ili ndugu yake awe huru,,aliamua kufanya kosa ili apelekwe gerezan kumwokoa ndugu yake.. Kama unadhan madhaifu yake hukuyaona lakin yapo kama mawil au matatu,unaweza usiyaone kama unaangalia kwa upendeleo,yaan unaangalia unachokipenda,huwez ona kbsa. Na aliwashinda mara nying sbu alikua one step ahed,alichokua anapanga polis waligundua baadae sana. Moja ya kichwa kikubwa alikua Mohone,,huyu naamin alikua na sense 6..
Kila mpango mwshon ulikua..
Hzi series umeziangalia kwa akil ya kupenda tu lakin nakuambia rudia tena mpk walipotoboa
Ni wenye akili timamu anaeweza kuiona Money Heist uzuri wake,kama ni kilaza sio rahis kuitambua