Nimeijaribu hii series kumbe ni ya kipuuzi hivi, watu wameipendea nini?

Hahaa, halafu kingine eti yule kiongozi wao yupo kama Mungu au zaidi, yaani anatabiri matukio tofauti tofauti yatakavyokuwa na yanakuwa hivyo kweli kwa asilimia 100
 
mtu anatabiri polisi waafanya hivi, kisha wanafanya kweli, kila tukio, haina uhalisia. kingine wale wezi alikuwa akiwapa bahati zote ziwaangukie huku polisi gundu ziwe upande wao. Very predictable and very boring, boring,boring
Hiyo inaitwa being one step ahead. Ni kawaida kwa mtu aliyepania kufanya jambo. Kumbuka walikaa kambi miezi 6 kabla ya tukio lenyewe. Hata hivyo kuna sehemu nao walikuwa wanakwama unless umeiangalia in negative way kuhusu hyo series
 
Ukweli mchungu.
 
Mbwa mmoja hivi yupo Mbagala anapondea series inayokubalika na watu wa duniani
Mbwa ni wewe Series zinazopendwa duniani, ambazo critics wa series wanazipa rating kubwa nazijua sio hii trash

Watu wenye akili wengi tu wameiona hii series ni mbovu kama unajua english jaribu kupitia hizi link



 
Hiyo inaitwa being one step ahead. Ni kawaida kwa mtu aliyepania kufanya jambo. Kumbuka walikaa kambi miezi 6 kabla ya tukio lenyewe. Hata hivyo kuna sehemu nao walikuwa wanakwama unless umeiangalia in negative way kuhusu hyo series
Mi nimeishia episode ya 9, labda huko mbele ilikuwa na uhalisia kidogo sijui ila sikuweza kuitazama maana inachosha

hata mtu akipanga kwa miezi 6, huwezi ku predict human behavior na ukawa accurate almost 100% vile sio realistic, nimetolea mfano wa series kama prison break ambayo kisa chake kinafanana na hicho, ambacho pamoja na planning zote za akili lakini haikwenda sawa na michael alivyopanga, na hii ndio inaleta msisimko kwa kuwa inampa thrill mtazamaji wa kuona kipi atafanya next
sio mtu anafanikiwa 99% planning zake na hiyo 1% isipofanikiwa anairekebisha haraka kwa namna ya kibahati bahati tu na bahati inakuwa upande wake mara zote
 
Wew ile serious inaitaji extra ordinary kuiyelewa binafsi nimeiyangalia mwez wa pili but I think it's my best scientific movies,
About professor he is mastermind ni kama Koch wa mpira anavyo waongoza wachezaji.
Believe the one is among of the best mm nilikuwa nachelewa kazini bcoz of that ,
Any one outthere go and check you will be back ,
Ina mission ambazo mtu wa kawaida uwez elewa .inahusu upolaji wa pes
 
Mkuu ungeiangalia angalau mpaka season 3 ndo uje useme. Maana nao hawakufanikiwa 100% kama unavyosema. Kuna watu walikufa na kulikuwa na vikwazo pia
 
Nilikuwa nafanya hivyo pia lakin ikawa inatokea sometimes kwenye marudio unaona samahan hatutakuwa na isidingo leo! Imagine unakuwa na gep la week nzima hujaangalia!!
Ukiweza angalia jumamosi usiku
at least huwa hawana excuses nyingi muda huo japo usingizi nao unakuwa kwenye peak
 
Mkuu ungeiangalia angalau mpaka season 3 ndo uje useme. Maana nao hawakufanikiwa 100% kama unavyosema. Kuna watu walikufa na kulikuwa na vikwazo pia
Hahaa, hadi season 3? Season moja inatosha kui judge series
Halafu season 1 nilivyoiangalia kwa kujisukuma sijui hiyo season 3 ningeimaliza lini

Niki download series huwa na kawaida ya kuangalia season one nzima ndani ya siku moja au mbili, automatically najikuta nikikesha tu kuiangalia sababu inakolea sana,

ila hii Money Heist kuangalia episode moja ilikuwa inanichukua hata wiki nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…