Nimeijaribu hii series kumbe ni ya kipuuzi hivi, watu wameipendea nini?

Haina kitu cha ajabu ambacho kinafanya nisiielewe, kuielewa nimeelewa ila ni ya kitoto mno
labda kama huna uzoefu na series nzuri ndio unaweza kuiona ni extraordinary
 
Prison break ni ishu nyingine mzee..

This weekend ngoja nianze kuirudia
 
Yupo,tapeli tapeli sana huyu mtu,ana ka spy kake amekatuma kum photo Sechaba ili am blackmail,kadem kana takle la ukweli aisee.
Dah,we unaingalia kupitia ITV?Hio episode ya nyuma sana,Ukiifuatilia SABC au kupitia youtube channel yao iko mbali sana...
 
Money Heist ni nzuri sana Mkuu iangalie hadi mwisho mipango yao ilifeli, Ila Prison Break dah! kiboko asee hapana serie niliipenda kama hii, Niambie series ingine kali unaijua niitafute tafadhali.
 
Money Heist kwanza imegawanyika sehem 3 kama una jicho na utambuzi wa kuelewa series vzr hili haliwez kukupa shida...

prison break imegawanyika sehem mbili kuu pia hili kuona kwa jicho kawaida unaweza usione. Ukawa umejikita tu Michael atafanya nn au mbinu zote zitafanikiwa au lah..

Kila series ina uzuri wake na udhaifu wake japo zina maudhui yanayoendana kias ila lengo tofauti..

Money Heist.
Imeegemea zaid kupora hela benk,na kutimiza ndoto za baba yake Profesa,pamoja na akili ya profesa lakin alikua anajua ugum wa kaz yenyewe,waporaj wanatumia nicknames hata wao wenyewe hawajuan majina,kwanza hyo ni akili pili imeonyesha nguvu ya Love,jinsi mapenz yanaweza badili kila kitu na ukafanya jambo ambalo lipo kinyume na matarajio. Kwa nn unaona profesa alichokua anahis kinatokea,ni sbu alijifunza saikolojia ya polis na kulifanyia kaz,na ndio maaana aliwafundsha cha kufanya kila kinapoenda tofauti na walichopanga. Ndo maana marehem Tokyo alipokwama nje akili ilimjia ni kule ndan pekee kwenye usalama wake tofaut na hapo ni bure.. Na bahat mbaya usidhhan huu mpango Profesa alikua mwenyewe lah hasha..aliupanga na watu ndo maana uliwaona baadae.
Labda uniambia udhaifu wa kutokula japo hawakwenda kupora na kula,itakua haina maana. kutetemeka yaan alishindwa kutulia kimwili anapoona jambo ambalo linaenda tofauti..

Alifanikiwa mipango yte kwa asilimia 95+ sbu aliwazid polis hatua moja mbele na hiki kinawezekana tu..ila alifanikiwa sana.

Prison break.

Imebeba ujumbe wa upendo... Michael alikua tayr kufanya lolote ili ndugu yake awe huru,,aliamua kufanya kosa ili apelekwe gerezan kumwokoa ndugu yake.. Kama unadhan madhaifu yake hukuyaona lakin yapo kama mawil au matatu,unaweza usiyaone kama unaangalia kwa upendeleo,yaan unaangalia unachokipenda,huwez ona kbsa. Na aliwashinda mara nying sbu alikua one step ahed,alichokua anapanga polis waligundua baadae sana. Moja ya kichwa kikubwa alikua Mohone,,huyu naamin alikua na sense 6..

Kila mpango mwshon ulikua..
Hzi series umeziangalia kwa akil ya kupenda tu lakin nakuambia rudia tena mpk walipotoboa

Ni wenye akili timamu anaeweza kuiona Money Heist uzuri wake,kama ni kilaza sio rahis kuitambua
 
Thread ifungwe
Tumeelewana mkuu
 
Hahaa, Kilaza sio rahisi kuitambua? naona vilaza ndio wanaoamini series ambayo ipo simplistic kama hii, huyu creator wa series aliwafanya polisi kuwa wajinga sana kuliko uhalisia, huku akimfanya yule profesa kuwa mtu mwenye akili na bahati kuliko uhalisia, kiasi kwamba walikuwa hawapati challenge ambayo ingeleta msisimko, sijui huko mbele ilikuwaje ila season one nilishindwa kuimaliza, baada ya kuitazama kwa kujisukuma sana

Series ambayo ilikuwa ali na ikaendana na promo na hype iliyopewa ilikuwa ni Game of Thrones, hii mtu asipoipenda labda ndio unaweza kusema ni kilaza ama sio taste yake, sababu ina characters wengi, maeneo mengi, na plot nyingi sana, Sasa hii ya money heist imefanyika almost kwenye location moja na charaters hawafikii hata 10% ya wale wa Game of Thrones halafu uniambia mimi ni kilaza eti nimeshindwa kuielewa? You MUST BE JOKING.
 
Money Heist ni nzuri sana Mkuu iangalie hadi mwisho mipango yao ilifeli, Ila Prison Break dah! kiboko asee hapana serie niliipenda kama hii, Niambie series ingine kali unaijua niitafute tafadhali.
Angalia breaking Bad, Game of Thrones(kama ni ladha yako) , The Wire, Narcos, Narcos Mexico, The Boardwalk Empire, jaribu hizo chache ukizipenda njoo nikuongezee nyingine
 
Nawasikitikia amabao hamjawahi kuona Series ya

La Mujer Demivida
La Mujer Delorenzo
Marimar
The Long Wait
It Might Be You
The Bold And The Beautful
 
Yupo,tapeli tapeli sana huyu mtu,ana ka spy kake amekatuma kum photo Sechaba ili am blackmail,kadem kana takle la ukweli aisee.
Hapa kwa Sechaba na penyewe ndio niliona pana ujinga kama wa kwenye Money Heist, yule Sechaba eti hajamshtukia hata kidogo huyo tapeli kuwa ndio anamuundia zengwe lote lile, wakati alishaonyesha dalili zote kuwa hamtakii mema, mfano ile kukatiza press ya yule dada kumsafisha, ila jamaa anamuamini tu, sijui mwanasiasa aliyefikia kiwango cha kuchaguliwa kuwa Meya anakuaje kilaza kiasi cha kushindwa kuona kitu obvious kama kile.
 
Angalia breaking Bad, Game of Thrones(kama ni ladha yako) , The Wire, Narcos, Narcos Mexico, The Boardwalk Empire, jaribu hizo chache ukizipenda njoo nikuongezee nyingine
poa takupa mrejesho
 
Ladha yako ndo utamu wako,,kwel kbsa eti niangalie GOT khaaa,hata mwanangu wa miaka minne anaweza nidharau japo mm siwadharau mlio iangalia,,na kuipenda,kwan watu weng ndo kuifanya series ionekane bora au tamu? Ha ha ha ha nacheka tu,,GoT mara mia niangalie See kidgo gata story yake inavutia
Angalia breaking Bad, Game of Thrones(kama ni ladha yako) , The Wire, Narcos, Narcos Mexico, The Boardwalk Empire, jaribu hizo chache ukizipenda njoo nikuongezee nyingine
 
Nalitambua ndio maana nimemuambia niliyemjibu kuwa kama ni ladha yake
 
Wakuu hapa ninaseries hizi hapa
  • GoT
  • The Ecpanses
  • Homeland
  • Designated survivor
  • Marvel's Agent of shield
  • Lost
  • Mamuvi ya kumwagaaaa yote Latest..
Je nianze na ipi..?
 
Anayeisifia Narcos na Lost anafaa kupigwaa.. mimi Money Heist nimeipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…