Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

Labda tusubiri awamu ya viwanda iishe JF ya great thinkers inaweza kurudi
 
Mwisho hakika umemaliza vizuri sana..
 
Wengi ni wakongwe lakini hawajulikani kutokana kutokua na mabandiko mengi au kutokuchangia majukwaa yanayopendwa na wengi. Wanachama wengi wa intelegence hawatajwi humu kabisa.
 
You have nailed it
 
Sijutii kukuweka kama mhenga mojawapo ambae nikiona kacomment sehem au kaanzisha thread jamiiforums kwangu it feels like home.
 
Umegongea msumarii haswaaaaa 🙏🙏🙏
 
Umenikumbusha invinsible jmn loh... Asprin Pia
 
Watu wa facebook wameivamia Jamiiforums kwa kasi! Kila uki-scroll ni hadithi za uzinzi tu! Wengine hawajui hata Kiswahili nao wamo tu wanang'ang'ana!
Nashkuru umesema na wewe... Kitu hiki huwa kinanipa kahasira flani hivi nikiona nyuzi sizielewi yani kila mtu ni mjuzi siku hizi huku jf akati zaman watu walikuwa wasikilizaji zaidi kuliko kuongea.
 
Huyo Pascal inahitaji akili ya ziada kumjua anachokiandika,mtu kama wewe huwezi kuelewa kirahis,halafu acha kunipangia niwe na mtazamo upi.
 
baba swalehe nmekuvutia kaasiii weeee nkaona nkuache kwanza... Naona umerudi tena ila kwa nidhamu baada ya kuona wahenga wamesifiwa za kutosha sasa unataka id yako ya zamani utafkiri unayo
[emoji28][emoji28][emoji28]

Hahaha we jamaa

Mi sitakagi sifa et za nini mimi sasa

Ndiyo nina id yangu ya mwaka 2009
 
Huyo Pascal inahitaji akili ya ziada kumjua anachokiandika,mtu kama wewe huwezi kuelewa kirahis,halafu acha kunipangia niwe na mtazamo upi.
Nimekuambia acha unafiq wewe wa Mudy, unaacha kumtaja yule Ajuza unamtaja Pascal pekee....!

Pascal ninamfahamu vizuri na najua huwa anachomaanisha kwenye comments
 
Nimekuambia acha unafiq wewe wa Mudy, unaacha kumtaja yule Ajuza unamtaja Pascal pekee....!

Pascal ninamfahamu vizuri na najua huwa anachomaanisha kwenye comments
We binti hebu kaa pembeni acha kubwabwaja hovyo,unataka wote tumjue Pascal kama unavyomjua wewe? usinipangie cha kuandika,peleka upuuzi wako kwa wapuuzi wenzako.
 
We binti hebu kaa pembeni acha kubwabwaja hovyo,unataka wote tumjue Pascal kama unavyomjua wewe? usinipangie cha kuandika,peleka upuuzi wako kwa wapuuzi wenzako.
Wewe unawashwa na janaba...kavue baibui mama uoge kwanza kisha urudi hapa...!
 
Nilianza kusoma kupitia operamini nilimjua
Mshana jr, mzizi mkavu ila nilikua nikisoma post za zero iq nilikua najihisi mchafu.
 
Nimerudi kuangalia na mimi..Yani ukimkumbuka MO11 ndo unanikumbuka na mm?.. Makalio yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa babe darling wivu wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…