Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu kuna member anaitwa lifecoded anatema madini sio ya kawaida,jamaa hana majivuno wala hajitapi kabisa! kuna FaizaFoxy huyu anakujibu kwa fact with an evidence,huyu hua anadeal na mtu kama atakavyokuja,ukumuheshimu anakuheshimu,ukimletea lugha mbovu anakupokea kama ulivyokuja,
Kuna huyu Mentor shabiki wa Chelsea,anamwaga madini utatamani apewe Taifa stars awe kocha! pia kuna Pascal Mayalla huyu yupo vizuri ila asijiingize kwenye chuki za udini,mkuu barafu yupo vizuri hasa mambo ya aviation industry,
Kifupi nawakubali member wote wa JF coz kila mtu ana style yake,hatuwezi kufanana,utofauti wetu ndio unaouikamilisha jamii,jamii haiwezi kuendelea kama itakua na watu wanaofanana na wanaowaza sawa!
Long live JF.
You have nailed itJF ya zamani niliifurahia sana jamanii..
Kuna member walinivutia mnoo miaka ya 2011
Masai dada
Badieby na yule mwarabu wake memsahau..
Eiyer
Asprin
Lara 1 huyu dada alijua kuwakomesha wanaume wa jf jamani
Mentor
Miss Chagga
Wengine wamenitoka kidogoo!
Sijutii kukuweka kama mhenga mojawapo ambae nikiona kacomment sehem au kaanzisha thread jamiiforums kwangu it feels like home.6- Mshana jr, huyu avatar yake kulikuwa na mbaba hivi kibonge. Kati ya watu wote jamiiforumz, avatar yake ni kati ya chache nilizowahi kuhisi ni avatar za kweli. Kama sijamchanganya na mtu mwingine basi yeye alipenda mambo ya uganga uganga sanaMshana Jr...without sunglasses
. Join me to break the taboo of showing our true self.. You never know about tomorrow... Meet me while you're aware the face you are going to meet (face not heart[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])www.jamiiforums.com
Umegongea msumarii haswaaaaa 🙏🙏🙏Hii sio ile JF niliyokuwa sijui hata ni nini cha kucomment kwa nondo zilizokuwa zikimwagwa. Dah JF ya kweli ilishazikwa na sasa tunatoka katika Era ya JF iliyosifika kwa uchambuzi wa mambo makubwa hadi JF ya kufundishana NGONO. Zamani hata mada za mapenzi zilijadiliwa kwa maturity ila sio sasa. Nitaishukuru Daima kwa kunikuza na siondoki hata kama ikigeuka branch ya ZEutamu maana JF bado ni mtandao wa kijamii mzuri kuliko yote Tanzania
Kuna Dada alikuwa anaitwa Smile sikuwai kumuona wala kumjua ila nilimzimikiaga mazima aligoma kunipa namba pm, angefanya hivyo tongozo lingemuhusu.
Kuna Mwita25 huyu alikuwa anaongea ngeli, Masanilo @Dr slaa, nape nauye, mwigulu nchemba, Ben Saanane,Lizzy, Kongosho, @maleria sugu, Ritz, Rejao, Pdidy, Kiranga mpagani mjanja, Mzizi mkavu, The Boss. Nyani Ngabu lugha zake za jeuri zilimjengea maadui wengi wa kwenye keyboard bila yeye kujua na siku alipoingia kwenye 18 za wala vumbi walimtimulia vumbi la kutosha. Ulikuwa ukikutana na Habari ni Habari za moto kweli sio sasa hivi uwongo mwingi.
[/QUOTE
@ nyani ngapi hapatikani kabisa sikuhizi, kulitokea nn?
Umenikumbusha invinsible jmn loh... Asprin Pia@rockcitynative kapotea sana. Maveterani wapo wanapita kimya kimya. Husninyo sijui kaishia wapi. Pia walikuwepo maveterani Balantanda, BAK, MTK, Mourinho na mshaji wake juve2012.
Ila aliyenishawishi na kuijua zaidi jf ni Mzee Mwanakijiji. Kupitia makala zake kwenye gazeti la Tanzania daima. Baada ya kuwa member nikamkuta mama FaizaFoxy. Jf ni sehemu yangu ya kupumzikia. Source yangu ya habari na pia habari za michezo.
Kule jukwaa la sports, wapo watu nawakubali sana. Namba 1 kabisa ni MosDef shabiki nguli wa liverpool. Gang Chomba na milan yake na lugha za shombo namzimia sana. BlackPanther mjuvi wa soka la juu, sio la bongo. Masports laddy cute b, @everlank, Numbisa mamaa wa gif.
Kwenye jukwaa la picha Mama Sabrina yupo vizuri. Kule kwenye celeb kiranja wao ni warumi japo nasikia kampokea bwana yesu kuwa mwokozi wa maisha yake.
Wakonge.
Asprini
Bujibuji
Ashaa d
Invisible
BAK
Balantanda
Arusha one
Mbu
Inzi
Game theory
Rejao
FF
baba swalehe nmekuvutia kaasiii weeee nkaona nkuache kwanza... Naona umerudi tena ila kwa nidhamu baada ya kuona wahenga wamesifiwa za kutosha sasa unataka id yako ya zamani utafkiri unayoNmeikumbuka sana
Id yangu ya zamani
Mentor anaishia kulike tu jmn 😣😣😣
Nashkuru umesema na wewe... Kitu hiki huwa kinanipa kahasira flani hivi nikiona nyuzi sizielewi yani kila mtu ni mjuzi siku hizi huku jf akati zaman watu walikuwa wasikilizaji zaidi kuliko kuongea.Watu wa facebook wameivamia Jamiiforums kwa kasi! Kila uki-scroll ni hadithi za uzinzi tu! Wengine hawajui hata Kiswahili nao wamo tu wanang'ang'ana!
Huyo Pascal inahitaji akili ya ziada kumjua anachokiandika,mtu kama wewe huwezi kuelewa kirahis,halafu acha kunipangia niwe na mtazamo upi.
[emoji28][emoji28][emoji28]baba swalehe nmekuvutia kaasiii weeee nkaona nkuache kwanza... Naona umerudi tena ila kwa nidhamu baada ya kuona wahenga wamesifiwa za kutosha sasa unataka id yako ya zamani utafkiri unayo
Nimekuambia acha unafiq wewe wa Mudy, unaacha kumtaja yule Ajuza unamtaja Pascal pekee....!Huyo Pascal inahitaji akili ya ziada kumjua anachokiandika,mtu kama wewe huwezi kuelewa kirahis,halafu acha kunipangia niwe na mtazamo upi.
We binti hebu kaa pembeni acha kubwabwaja hovyo,unataka wote tumjue Pascal kama unavyomjua wewe? usinipangie cha kuandika,peleka upuuzi wako kwa wapuuzi wenzako.Nimekuambia acha unafiq wewe wa Mudy, unaacha kumtaja yule Ajuza unamtaja Pascal pekee....!
Pascal ninamfahamu vizuri na najua huwa anachomaanisha kwenye comments
Wewe unawashwa na janaba...kavue baibui mama uoge kwanza kisha urudi hapa...!We binti hebu kaa pembeni acha kubwabwaja hovyo,unataka wote tumjue Pascal kama unavyomjua wewe? usinipangie cha kuandika,peleka upuuzi wako kwa wapuuzi wenzako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimerudi kuangalia na mimi..Yani ukimkumbuka MO11 ndo unanikumbuka na mm?.. Makalio yako
@fisadikuu amekuwa adimu zaidi bora hata malcom huwa anajitokeza maea moja mojaSure..Malcom atakuwa chimbo anaandaa madini..