Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante dada ila kiukweli hata mimi huwa nachoka kuwashushia magazeti vichwa ngumu wanaoujua ukweli ila wanajitoa ufahamu sema basi tu sijui ni vile napenda sana kuandika ndo maana huwa nakomaaga nao daah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo mkwara hapo mwisho umesababisha nisahau kabisa nilivyotaka kukushushua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bora hata
 
@rockcitynative kapotea sana. Maveterani wapo wanapita kimya kimya. Husninyo sijui kaishia wapi. Pia walikuwepo maveterani Balantanda, BAK, MTK, Mourinho na mshaji wake juve2012.

Ila aliyenishawishi na kuijua zaidi jf ni Mzee Mwanakijiji. Kupitia makala zake kwenye gazeti la Tanzania daima. Baada ya kuwa member nikamkuta mama FaizaFoxy. Jf ni sehemu yangu ya kupumzikia. Source yangu ya habari na pia habari za michezo.

Kule jukwaa la sports, wapo watu nawakubali sana. Namba 1 kabisa ni MosDef shabiki nguli wa liverpool. Gang Chomba na milan yake na lugha za shombo namzimia sana. BlackPanther mjuvi wa soka la juu, sio la bongo. Masports laddy cute b, @everlank, Numbisa mamaa wa gif.

Kwenye jukwaa la picha Mama Sabrina yupo vizuri. Kule kwenye celeb kiranja wao ni warumi japo nasikia kampokea bwana yesu kuwa mwokozi wa maisha yake.

Wakonge.

Asprini
Bujibuji
Ashaa d
Invisible
BAK
Balantanda
Arusha one
Mbu
Inzi
Game theory
Rejao
FF
 
Ooooooow!!! Asante sana Ziroseventytwo.
 
Kwakweli unastahili pongezi kwa kuwarekebisha hawa vichwa ngumu
 
Namna tunavyojamiiana tu ndio nimependezwa nayo.[emoji23][emoji23][emoji23]

BTW, I appreciate your inputs too.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana mimi ni mgeni sema tu nimekuja kwa kasi ya 5G zamani nilikuwaga mpenzi mtazamaji ila mwaka huu na mimi nikaanza kuwa mpenzi mtangazaji[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe ni mgeni ila mwandiko wako umezeeka[emoji23]. Huwa unanikumbusha enzi hizo Heaven Sent akiwa active, alikuwa akiandika newspapers zenye kilo mia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…