Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

Nilianza kuwa jamiiforums kama guest miaka ya 2012 kwenda 2013 mnamo mwaka 2015 nilijiunga rasmi umoja wa hii blog yetu pendwa ya RAha tupu nakukubali sana admini wetu Nancy mtikisiko nilivutiwa na story zako za migegedo

Daah nimechanganya mafaili hapo juu namaanisha mnamo mwaka 2015 nlijiunga rasmi jamiiforums alinivutia kujiunga ni watu wafuatao
.@mzizimkavu
@karanja007
tpaul
@generalgaladudu
Illuminata Rodgers

Na wengineo bila kumsahau my mentor, role model ambae ni jamaa mwenye busara na akili kuliko member wote @ghhussa

Ila namchukia Nyete humu ndani kwa tabia zake
 
Uhakiki wa wanachama ni muhimu....kwa sababu sifa ya kiumbe hai ni uzaliwa,huishi na baadaye hufa...kama akaunti ya mtu haijatumika kwa mwaka mzima inatakiwa iondolewe.
 
Wewe unashangaza sana..!!!!

Yaani pascal ndio unasema asijiingize kwenye udini badala umseme hiyo Dada yako FaizaFoxy

Hebu acha Unafiki, au kwakuwa ni Muislam mwenzio?

Huyu FaizaFoxy tunamjua kwa miaka mingi usione tuna ID's za miaka ya karibuni.

Hao wengine ni sawa kabisa wape heshima zao.
 
Kuna jamaa alikuwa anaitwa @pauldesouza. Jamaa alikuwa anaongea kiingereza flani hivi, jamaa sijui alipotelea wapi asee...
Paulo sergio D'souza

Yeah Man...Homeboy hiyo alikuwa kichwa sana kutoka Chuga.
 
loveisweet amepotea sana jukwaani au alipata alipatwa na nini?
 
Malaria Sugu na Rev. Fr. Masanilo...Pakajimmy, TF..The Finest, Asprin, Afrodenzi, Nsiande...these to me are my legends.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…