Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

Nilianza kuwa jamiiforums kama guest miaka ya 2012 kwenda 2013 mnamo mwaka 2015 nilijiunga rasmi umoja wa hii blog yetu pendwa ya RAha tupu nakukubali sana admini wetu Nancy mtikisiko nilivutiwa na story zako za migegedo

Daah nimechanganya mafaili hapo juu namaanisha mnamo mwaka 2015 nlijiunga rasmi jamiiforums alinivutia kujiunga ni watu wafuatao
.@mzizimkavu
@karanja007
tpaul
@generalgaladudu
Illuminata Rodgers

Na wengineo bila kumsahau my mentor, role model ambae ni jamaa mwenye busara na akili kuliko member wote @ghhussa

Ila namchukia Nyete humu ndani kwa tabia zake
 
Uhakiki wa wanachama ni muhimu....kwa sababu sifa ya kiumbe hai ni uzaliwa,huishi na baadaye hufa...kama akaunti ya mtu haijatumika kwa mwaka mzima inatakiwa iondolewe.
 
Humu kuna member anaitwa lifecoded anatema madini sio ya kawaida,jamaa hana majivuno wala hajitapi kabisa! kuna FaizaFoxy huyu anakujibu kwa fact with an evidence,huyu hua anadeal na mtu kama atakavyokuja,ukumuheshimu anakuheshimu,ukimletea lugha mbovu anakupokea kama ulivyokuja,

Kuna huyu Mentor shabiki wa Chelsea,anamwaga madini utatamani apewe Taifa stars awe kocha! pia kuna Pascal Mayalla huyu yupo vizuri ila asijiingize kwenye chuki za udini,mkuu barafu yupo vizuri hasa mambo ya aviation industry,


Kifupi nawakubali member wote wa JF coz kila mtu ana style yake,hatuwezi kufanana,utofauti wetu ndio unaouikamilisha jamii,jamii haiwezi kuendelea kama itakua na watu wanaofanana na wanaowaza sawa!

Long live JF.
Wewe unashangaza sana..!!!!

Yaani pascal ndio unasema asijiingize kwenye udini badala umseme hiyo Dada yako FaizaFoxy

Hebu acha Unafiki, au kwakuwa ni Muislam mwenzio?

Huyu FaizaFoxy tunamjua kwa miaka mingi usione tuna ID's za miaka ya karibuni.

Hao wengine ni sawa kabisa wape heshima zao.
 
Kuna jamaa alikuwa anaitwa @pauldesouza. Jamaa alikuwa anaongea kiingereza flani hivi, jamaa sijui alipotelea wapi asee...
Paulo sergio D'souza

Yeah Man...Homeboy hiyo alikuwa kichwa sana kutoka Chuga.
 
loveisweet amepotea sana jukwaani au alipata alipatwa na nini?
 
Malaria Sugu na Rev. Fr. Masanilo...Pakajimmy, TF..The Finest, Asprin, Afrodenzi, Nsiande...these to me are my legends.
 
Back
Top Bottom