Pole yenu nyie mnaotumika kama madaraja ya mtu kufikia future husband wake[emoji23][emoji23][emoji23]haha lakini usipokuwa mzito unajua utakula wengi sana; maana shida hazina mbambe na hazizoeleki. Unakuta hapa anachuma pesa; kule ana future husband wake anampenda na anataka waowane. Pole zao hao ma future husband.
Na papuchi ina kuwa na dharula"*Kitendo cha kuchukua tu namba ya simu ya demu wa Dar, tayari nywele zake zinafumuka muda huo huo, njaa inamuuma dakika hiyo hiyo, simu yake inaharibika siku hiyo hiyo, siku yake ya kuzaliwa inafika saa hiyo hiyo, mama yake anaumwa ghafla hapo hapo, na kodi yao ya nyumba inaisha dakika hiyo hiyo*. [emoji1787][emoji38][emoji12]
Nilipitia relations za kuchunwa hadi nikazoea, badae nikampata ambae haombi hela eti anajidai kunipenda nikamwambia peleka huko ufilipino.Na mchunwe tuu hamna namna.
pole yetu tena? Si unajua mahawala hawa achani!! Muda wowote ukitaka kupasha kiporo mwapashana tu. Pole zaidi ni kwa husband materials wana kazi ya ziada ya kufanya.Pole yenu nyie mnaotumika kama madaraja ya mtu kufikia future husband wake[emoji23][emoji23][emoji23]
Pale ataka poomba pesa ndefu; ni swala dogo tu; aifuate nyumbani:Yaani acha tu mkuu, unaweza kuchunwa halafu ukaambulia patupu
Akaripoti police!!!!Hahaha kwaio ulimbaka
Utasikia anakuambia "basii"Pale ataka poomba pesa ndefu; ni swala dogo tu; aifuate nyumbani:
Kwani mkuu wewe hupendi vitu vizuri? ??Hebu acheni kuchukua namba mnatutia hasara.
Mimi hapa simu yangu nzima kabisa , ghafla inakufa, kodi nimelipa ya mwaka ghafla inaisha, wazazi wanaugua ghafla.
Acheni kututia mikosi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na papuchi ina kuwa na dharula
"Baby nina njaa,,yaani"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na gesi inaisha hapohapo
Hahaha shida mbaya sana bossUtasikia anakuambia "basii"
Afuate nyumbani, lazima utatuma nauli mkuuPale ataka poomba pesa ndefu; ni swala dogo tu; aifuate nyumbani:
Gesi pia mda huo huo ndio inaisha.Umesahau umeme wa luku unaisha hapo hapo................
Napenda[emoji23][emoji23]Kwani mkuu wewe hupendi vitu vizuri? ??
Umeme,gesi vyote vinaisha."*Kitendo cha kuchukua tu namba ya simu ya demu wa Dar, tayari nywele zake zinafumuka muda huo huo, njaa inamuuma dakika hiyo hiyo, simu yake inaharibika siku hiyo hiyo, siku yake ya kuzaliwa inafika saa hiyo hiyo, mama yake anaumwa ghafla hapo hapo, na kodi yao ya nyumba inaisha dakika hiyo hiyo*. [emoji1787][emoji38][emoji12]
Sasa nauli ya elfu 10, 20 inashida gani mkuu? hiyo hata ukikiambia nayo kwangu Mimi huwa haiumi. Maana hata saloon hawezi endea suka mshono wa kisasa pitia pesa iyo. Siku akitangwa mbona atakuja tuAfuate nyumbani, lazima utatuma nauli mkuu