Nimeikuta Mahali

Nimeikuta Mahali

haha lakini usipokuwa mzito unajua utakula wengi sana; maana shida hazina mbambe na hazizoeleki. Unakuta hapa anachuma pesa; kule ana future husband wake anampenda na anataka waowane. Pole zao hao ma future husband.
Pole yenu nyie mnaotumika kama madaraja ya mtu kufikia future husband wake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
"*Kitendo cha kuchukua tu namba ya simu ya demu wa Dar, tayari nywele zake zinafumuka muda huo huo, njaa inamuuma dakika hiyo hiyo, simu yake inaharibika siku hiyo hiyo, siku yake ya kuzaliwa inafika saa hiyo hiyo, mama yake anaumwa ghafla hapo hapo, na kodi yao ya nyumba inaisha dakika hiyo hiyo*. [emoji1787][emoji38][emoji12]
Na papuchi ina kuwa na dharula
 
Pole yenu nyie mnaotumika kama madaraja ya mtu kufikia future husband wake[emoji23][emoji23][emoji23]
pole yetu tena? Si unajua mahawala hawa achani!! Muda wowote ukitaka kupasha kiporo mwapashana tu. Pole zaidi ni kwa husband materials wana kazi ya ziada ya kufanya.

Sijui na Mimi wangu wanamtafuna uko wadau.
 
Utasikia anakuambia "basii"
Hahaha shida mbaya sana boss
hiki kizazi ni ngumu sana Kukataa pesa
wa namna iyo wapo ila wachache sana kwa sasa, ndiyo mana watu wwnyenazo Mara nyingi wapo katika position nzuri ya kuwavua vyupi.
 
"*Kitendo cha kuchukua tu namba ya simu ya demu wa Dar, tayari nywele zake zinafumuka muda huo huo, njaa inamuuma dakika hiyo hiyo, simu yake inaharibika siku hiyo hiyo, siku yake ya kuzaliwa inafika saa hiyo hiyo, mama yake anaumwa ghafla hapo hapo, na kodi yao ya nyumba inaisha dakika hiyo hiyo*. [emoji1787][emoji38][emoji12]
Umeme,gesi vyote vinaisha.
 
Afuate nyumbani, lazima utatuma nauli mkuu
Sasa nauli ya elfu 10, 20 inashida gani mkuu? hiyo hata ukikiambia nayo kwangu Mimi huwa haiumi. Maana hata saloon hawezi endea suka mshono wa kisasa pitia pesa iyo. Siku akitangwa mbona atakuja tu
 
Back
Top Bottom