Pole yenu nyie mnaotumika kama madaraja ya mtu kufikia future husband wake[emoji23][emoji23][emoji23]haha lakini usipokuwa mzito unajua utakula wengi sana; maana shida hazina mbambe na hazizoeleki. Unakuta hapa anachuma pesa; kule ana future husband wake anampenda na anataka waowane. Pole zao hao ma future husband.