Nimeimiss nanii mpaka nachuruzika .....

Hahaha mambembe hata mm mdada nilikumiss sana karibu my dear nilivyoona kuchururuzika niliwaza mbali shunie mm
Hahahaaaa.lol

Ila Kiswahili hiki maneno yaliyo mengi hayajawahi kuwa na maana moja jamaani lol.

Sababu Maji yanaweza kuchuruzika, mchuzi waeza kuchuruzika, machozi yaweza kuchuruzika, jasho laweza kuchuruzika basi tabu tupu. Hahahaaa.
 
That's great my dear kumbe ulikua unanisoma kimya kimya dohh!! Ofcourse I do appreciate sana yanii huwa unanogesha sana jukwaa seriously nakukubali mno mno!
u know Kuna uniqueness fulani hivi kwa kila member sasa yako huwa inanikosha kinouma nomaa.. santo sana

cc Smart911
 
Yaan ww ndo nn kunitaja kwenye list za waliolelewa vibayaa wakati sikuukimbiaa mkole yaan mi ndo wananikimbiaa
Nisamehe sana Mkuu,lkn sikuwa na maana mbaya...ulikuwa kimya sana Mkuu halafu mm huwa napenda sana swagga zako so,niliamua kukutafuta kwa namna nyingine!
 
Hahahaaaa.lol

Ila Kiswahili hiki maneno yaliyo mengi hayajawahi kuwa na maana moja jamaani lol.

Sababu Maji yanaweza kuchuruzika, mchuzi waeza kuchuruzika, machozi yaweza kuchuruzika, jasho laweza kuchuruzika basi tabu tupu. Hahahaaa.
Yaan fulu michuruzoooo na raha yake isiwe mepesi bibi weee
 
Nisamehe sana Mkuu,lkn sikuwa na maana mbaya...ulikuwa kimya sana Mkuu halafu mm huwa napenda sana swagga zako so,niliamua kukutafuta kwa namna nyingine!
Usijali bwanaa mambembe ni dnt caree mimi nasambazaa tu upendo ila sigawi pendo lol
 
Hahahaaaa.lol

Ila Kiswahili hiki maneno yaliyo mengi hayajawahi kuwa na maana moja jamaani lol.

Sababu Maji yanaweza kuchuruzika, mchuzi waeza kuchuruzika, machozi yaweza kuchuruzika, jasho laweza kuchuruzika basi tabu tupu. Hahahaaa.
Hahahha umeona eenh ndg yangu yaani vitu vingi vinachuruzika
 
Hahahaaaa.lol

Ila Kiswahili hiki maneno yaliyo mengi hayajawahi kuwa na maana moja jamaani lol.

Sababu Maji yanaweza kuchuruzika, mchuzi waeza kuchuruzika, machozi yaweza kuchuruzika, jasho laweza kuchuruzika basi tabu tupu. Hahahaaa.

Haha ila rafiki wewe jamani dah.. vipi list ya michuruziko imeisha ama...?????!!! tehteehhh...

cc Smart911
 
Haaaaawwwww thnk u lovee
 
Mungu wangu Mambembe leo umenipata basi nikajua MPODODO 😎 😎 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…