Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hujui kosa lako eeehee hayaa kule ugaibuni nilikuonaa tu macho juu juu
Mmmh unajiteteaaa eeehee
😳 😳 😳 🙄 🙄 🙄 🙁 🙁 🙁 😎 😎 😎Jaman polee shemu wangu huo nikiutaka naweza ushindiaa siku nzimaa na nikiamuaa naulaza huko huko
Umeonaeeee. Hahahaaaa.Hahahha umeona eenh ndg yangu yaani vitu vingi vinachuruzika
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hope wote mu wazimaa.....
ila kusema kweli jamani nimeimiss JAMII FORUM mpaka machozi YANANITIRIRIKA semaa huyu boss mpyaa anatupeleka mchaka mchaka mpaka nasahau kushika simu
All in all nimewamiss sana esp mabwana zangu wa PM(kama naona wasionipenda wanavyosonya l.o.l)
MAMBEMBE THE UNTOUCHABLE
QUEEN OF KING BED
Hahaaa. Acha kabisa mdogo wangu. Tuchekage tu kwa kweli tupate ongeza umri. HahahaaaaDada naona umeamka na kicheko..hahahahahaha..basi acha namimi nicheke tu..hahahahaa
HahahahahaHahaaa. Acha kabisa mdogo wangu. Tuchekage tu kwa kweli tupate ongeza umri. Hahahaaaa
Hahahaa. Sitaki mie Mambembe lol.Yaan fulu michuruzoooo na raha yake isiwe mepesi bibi weee
Kwema Hasaaa mdogo wangu. Sijui kwako mwaya?Hahahahaha
Kwema lakini Dada angu
Kwema kabisa..Mungu ni mwemaKwema Hasaaa mdogo wangu. Sijui kwako mwaya?
Kwema kabisa..Mungu ni mwemaKwema Hasaaa mdogo wangu. Sijui kwako mwaya?
Na wewe ukiimiss jf uwa unachuruzika?Hahaha mambembe hata mm mdada nilikumiss sana karibu my dear nilivyoona kuchururuzika niliwaza mbali shunie mm