Nimeimiss nanii mpaka nachuruzika .....

Nimeimiss nanii mpaka nachuruzika .....

Hope wote mu wazimaa.....

ila kusema kweli jamani nimeimiss JAMII FORUM mpaka machozi YANANITIRIRIKA semaa huyu boss mpyaa anatupeleka mchaka mchaka mpaka nasahau kushika simu

All in all nimewamiss sana esp mabwana zangu wa PM(kama naona wasionipenda wanavyosonya l.o.l)



MAMBEMBE THE UNTOUCHABLE
QUEEN OF KING BED
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hapo kwenye kuchuruzika ndio kumenifanya nifungue thread yako faster sana
 
Back
Top Bottom