Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Ilikuwa majira ya saa Tatu asubuhi ndani ya NMB KAHAMA BUSINESS CENTER. Nilienda kudepost pesa zangu za mazao ghafra nikaona dogo mwenye umri usiozidi miaka 21 anaingia nabegi la roller anasukuma
Nikajua katoka likizo na furusi la nguo anataka kuweka pesa ya Ada, kumbe ni pesa. Alienda dirisha la huduma za haraka akaanza kutoa furusi moja mpaka jingine, ilichukua saa moja na nusu teller kuhesab zile pesa kwenye mashine
Nilichanganyikiwa nikaona million kumi zangu hazina maana ilinibidi nikaweke kwa njia ya wakala tu
Huyu dogo anaweza akawa katumwa Ila ni risk kwake japo mwonekano wake ulikuwa choka mbaya kabwela tu amevaa makobazi
Walimu mpo? Mnakopa million tano Deni la miaka tisa wenzenu wanaingiza million tano kwa siku moja 🤣🤣🤣🤣