Nimeingia bank, Kuna watu pesa wanayo

Nimeingia bank, Kuna watu pesa wanayo

Kuna mchina Moja mjanja sana akiwa anapeleka mzigo bank anamweka mbele dada wa dukani anayeandika order, katikati anakua aliebeba Hela(kijana wa store) na yy anakua nyuma hapo huchekechi hata mia
Yap
Wachina benki naona wanakuja na wafanyakazi wao wakimaliza hao kwenye Alphard mfanyakazi kiti cha mbele kama boss mchina kafunikwa na tint viti vya nyuma
 
Wa Hindi wanao miliki viwanda na biashara kubwa hutumia vijana wadogo kupeleka pesa yao benki wenyewe wakiwa pembeni wana ogopa kupigwa risasi na kuporwa pesa.........lakini ticha kwa akili zako wewe unaona kijana wa 21yrs atakua anafanya biashara gani ya kumigizia 500m au 1bn mambo mengine ni kutumia common sense ata kama ameokota dhahabu angelipwa benki moja kwa moja bila kushika cash.
Hilo na kubali, wahindi wana tabia hiyo hata mm Kuna mwarabu alitaka kunizoea nikamwambia tuma wengine staki pressure
 
Mkuuu hiyo sio ajabu

Wafanya biashara wengi wa kigeni wanatabia hiyoo

Nakumbuka mwaka 2014 namaliza Chuo
Nilipata kibarua change mitaa ya Nkrumah road kwenye makampuni ya clearing and Forwarding
Tulikuwa tunaclear mizigo ya Wachina enzi hizo

Sasaa kwenye kulipa kodi

Million 200 au 500 unapewa wewe upelekee upitishe mitaa ya kariakoo hadi Bank M enzi hizo.
And wao wanakaa mbali

Unawekewa mfuko mkubwa na Maua unapeleka kama kiroba flani hivi mgongoni.

Mimi mwenyewe nishafanya hiyo.kazi kwa wachina

So usishangae Mkuuu
Utakuta hana hata Mia
Cha ajabu bank tela anakuona kama doni anakupapatikia kumbe Huna hata Mia mkuuu

So learn this but ever ever give up
Push and push kwa kiasi chako mkuuu
Duuuh ko mkuu ukifikisha mzigo hawakupozi ata laki
 
Yap
Wachina benki naona wanakuja na wafanyakazi wao wakimaliza hao kwenye Alphard mfanyakazi kiti cha mbele kama boss mchina kafunikwa na tint viti vya nyuma
Wachina ndo zao, hata wanaokimbia na hizo hela wengi unakuta ni kama hawana akili hv wiki hii kuna Moja alisepa na 80M za mchina.....hata 48hrs hazijaisha wakamdaka
 
Maeneo ya wachimbaji raha sana. Unatakiwa kuwa mpole na tumilioni twako.
 
Tahila kweli ww 🤣🤣🤣.. Sio Kila kitu mpaka uingie bulk. Pale kahama mda wote watu wanaingia na viroba Kuna sehem ya haraka ukitaka nenda ukacomfirm. Mpumbav akijua kidogo anadhani Kila kitu ni wrong proof
So walikukula boga ba kulipwa 10k.?
 
Back
Top Bottom