Nimeingia bank, Kuna watu pesa wanayo

Mtumwa wa wahindi!! Nyinyi ndio wale manaume place posta msiokuwa na kazi kutwa nzima chawa kwa wahindi
 
Hao madogo wanasimamia family business. Wakati sisi tuko bize kusisitizwa na wazazi tukasome tupate ajira.
 
 
Mkuuu hiyo sio ajabu

Wafanya biashara wengi wa kigeni wanatabia hiyoo

Nakumbuka mwaka 2014 namaliza Chuo
Nilipata kibarua change mitaa ya Nkrumah road kwenye makampuni ya clearing and Forwarding
Tulikuwa tunaclear mizigo ya Wachina enzi hizo

Sasaa kwenye kulipa kodi

Million 200 au 500 unapewa wewe upelekee upitishe mitaa ya kariakoo hadi Bank M enzi hizo.
And wao wanakaa mbali

Unawekewa mfuko mkubwa na Maua unapeleka kama kiroba flani hivi mgongoni.

Mimi mwenyewe nishafanya hiyo.kazi kwa wachina

So usishangae Mkuuu
Utakuta hana hata Mia
Cha ajabu bank tela anakuona kama doni anakupapatikia kumbe Huna hata Mia mkuuu

So learn this but ever ever give up
Push and push kwa kiasi chako mkuuu
 
Hao madogo wanatumwa tuu na ma tajiri wa madini
 
Kumbe ndo maana unasigana na Ualimu. Neno ni ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…