raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kuna wengine wanatoka nazo huko wanako toka nazo unamuona kabisa anarudi mwenyewe kwa miguuZile hukimbii nazo, mfano wachina unakuta anakuweka mbele umebeba begi la hela yy na wenzake wawili au watatu wanakua nyuma yako
Kuna mchina Moja mjanja sana akiwa anapeleka mzigo bank anamweka mbele dada wa dukani anayeandika order, katikati anakua aliebeba Hela(kijana wa store) na yy anakua nyuma hapo huchekechi hata miaKuna wengine wanatoka nazo huko wanako toka nazo unamuona kabisa anarudi mwenyewe kwa miguu
YapKuna mchina Moja mjanja sana akiwa anapeleka mzigo bank anamweka mbele dada wa dukani anayeandika order, katikati anakua aliebeba Hela(kijana wa store) na yy anakua nyuma hapo huchekechi hata mia
Hilo na kubali, wahindi wana tabia hiyo hata mm Kuna mwarabu alitaka kunizoea nikamwambia tuma wengine staki pressureWa Hindi wanao miliki viwanda na biashara kubwa hutumia vijana wadogo kupeleka pesa yao benki wenyewe wakiwa pembeni wana ogopa kupigwa risasi na kuporwa pesa.........lakini ticha kwa akili zako wewe unaona kijana wa 21yrs atakua anafanya biashara gani ya kumigizia 500m au 1bn mambo mengine ni kutumia common sense ata kama ameokota dhahabu angelipwa benki moja kwa moja bila kushika cash.
Basi walimu tafuteni pesa, Kuna watu pesa wanayo jmnBaadhi ya matajiri kwenye migodi ya dhahabu kama kahama, geita, masumbwe na katoro hawajasoma.
Kwahiyo wanatumia vijana kama hao kuweka na kutoa pesa zao kwenye mabank, pamoja na kusimamia baadhi ya miradi yao.
Weka mabango kotee afu haina haja ww njoo apa kahama utanikuta. Uliza mtaa wa majengo
Hakuwa bulk, ilikuwa dirishani tu sehem ya harakaNa wewe ulikuwa bulk kudeposit laki tatu??
Madini ya dhahabuHv pale KAHAMA watu wanatoa wapi pesa maana nlishawahi kwenda nkjua ni kiwilaya kama vingne nkakuta ni zaidi ya fikra zangu.
Walimu mnatumwa mnaambulia buku tano ya practical 🤣🤣🤣Hao madogo wanatumwa tuu na ma tajiri wa madini
Duuuh ko mkuu ukifikisha mzigo hawakupozi ata lakiMkuuu hiyo sio ajabu
Wafanya biashara wengi wa kigeni wanatabia hiyoo
Nakumbuka mwaka 2014 namaliza Chuo
Nilipata kibarua change mitaa ya Nkrumah road kwenye makampuni ya clearing and Forwarding
Tulikuwa tunaclear mizigo ya Wachina enzi hizo
Sasaa kwenye kulipa kodi
Million 200 au 500 unapewa wewe upelekee upitishe mitaa ya kariakoo hadi Bank M enzi hizo.
And wao wanakaa mbali
Unawekewa mfuko mkubwa na Maua unapeleka kama kiroba flani hivi mgongoni.
Mimi mwenyewe nishafanya hiyo.kazi kwa wachina
So usishangae Mkuuu
Utakuta hana hata Mia
Cha ajabu bank tela anakuona kama doni anakupapatikia kumbe Huna hata Mia mkuuu
So learn this but ever ever give up
Push and push kwa kiasi chako mkuuu
Wachina ndo zao, hata wanaokimbia na hizo hela wengi unakuta ni kama hawana akili hv wiki hii kuna Moja alisepa na 80M za mchina.....hata 48hrs hazijaisha wakamdakaYap
Wachina benki naona wanakuja na wafanyakazi wao wakimaliza hao kwenye Alphard mfanyakazi kiti cha mbele kama boss mchina kafunikwa na tint viti vya nyuma
Kweli jamaa ana tamaa sana, mimi mwenyewe ningeshamtusua mapema na angekuwa hakatai mwenye nazo.Ungekua wa kike ungechapika sana kwa tamaa ya hela,
Mind ur own business,au una muda wa kuchezea? Unamshangaa mtu kupeleka hela bank wakati hujui hata source ya income yake!
Mkuuu unawafahamu Wachina au unawasikiaDuuuh ko mkuu ukifikisha mzigo hawakupozi ata laki
So walikukula boga ba kulipwa 10k.?Tahila kweli ww 🤣🤣🤣.. Sio Kila kitu mpaka uingie bulk. Pale kahama mda wote watu wanaingia na viroba Kuna sehem ya haraka ukitaka nenda ukacomfirm. Mpumbav akijua kidogo anadhani Kila kitu ni wrong proof